Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Nb: Pasco haya yote nimeyafanya kwa kibali rasmi cha familia ya mteja wangu na Mume wake ambaye ni school mate wako maana naye walimuattack huko kwenye blog zao, na kama mmepoteana muda mrefu naomba uje inbox nikuconnect na Mali Kimesera mna mengi ya kubadilishana mawazo.
Mkuu asante, alinitangulia darasa, si unajua tena mambo ya primari, sisi wa darasa la nyuma ndio tunawajua ma Eloway, alipomaliza alikwenda IST and that was the end, never heard of him!, we are talking about over 30 years!, hivyo anaweza hata asininjue!, kwa vile mimi pia ni mtu wa kufika maeneo, it's good tukutane tuu by chance, nijitambulishe, na tena kama unavyojua sisi wengine wenye damu ya kunguni, maana wife wake she is a woman of the people, huko ndiko nitakakoingilia!.Thanks.Pasco.
 
Last edited by a moderator:

Namekuelewa sana ulichokiongea ika kuna maisha zaidi ya hizi drama na Mr Mali nature ya kazi yake nadhani mna vitu vya kushare ideas. I guess.
 
time for commercial break

tumblr_nhku05eC561rnxnyyo1_1280.jpg
 
Pasco hana lolote huyu

anataka kusegea karibu na malkia

huyu ni mke wetu sote lakini hawa akina Pasco lazima tuwe makini nao.

Huyu mwanamke kazidi kunikosha kuwa naye ni CHADEMA hivyo hana haja ya kuni convince kujiunga nao

akihama kwenda NAREA na mimi namfuata huko huko
 
LINDA WA ZAMANI ANAFANANA NA NENEH CHERRY

MI0000630672.jpg

TOTO LA KIZARAMO LILICHEZWA LIKACHEZEKA

HEBU MIE NITAFUTE ILE YOUTUBE VIDEO ALIYOKUWA ANAWAPASHA AKINA MANGE VIDONGE VYAO

NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
PASCO KAZINI

06a96532-73c6-49dd-9a55-fe1c8420ef30_180135755.jpg
Hii sio haki!, yaani umeweka hadi picha yangu, na kutoa siri ya kazi yangu kuwa mimi ni dereva!, sheria za jf si zinakataza kutoa identity ya mtu au kumfananisha, hata kama unamjua?!, nitakuripoti kwa mode na utakula ban!.
Pasco
 
Karibu sana JF Her Majesty Queen lindaBEZUIDEHOUT.Sisi tupo na wewe mwanzo mwenga.Unajua malkia kama Linda kugombana na kile kiroboto chenye miguu kama fito afu kilichokauka kama kuku wa kuchoma unajishushia hadhi.Yule ana kimavi kama jina lake.Kwanza jina tu limefanana na ugonjwa wa mbwa na paka maskini.ni wa kumsamehe tu.Sifa ya Malkia ni uzuri then vingine vyafata.Sasa yule aliona dunia yote kaibeba na mkono mmoja ila walimwengu wamemfundisha majigambo hayana faida.Hapo alipo,Huyo Kimavi kakimbiwa na mashoga zake wooote kabaki kuwadiss tu kwenye hiyo blogu yake.Maskini ni mfa maji yule.Haishi kutapatapa.Sisi yetu yanatuendea na malkia wetu linda.Full mared carpet tu.Yeye toka alivyoingia Marekani tunaishia kumuona kwenye marestaurant tu.Hata kwenye habari wala maevent hatujawahi kumuona japo hata ahudhurie.Kkkkkkkkk so sad jamani.Inatia uchungu sana.Masters degree aliefeli maisha hahahahahaaaaaaa!!!Anaishia kujaribu biashara za wenzie.eti nae anataka kuiua biashara ya Sintah ya kuuza mashela???wacha nicheke mie.kiko wapi Bongolicious??kiko wapi vipodozi??kiko wapi??hata lile Porsche siku hizi hatulioni maskiniiii.Pole sana msomi uliefulia.HUNA JIPYA WEWE.Hata akisema adange kwa ukomavu ule alionao nani atamtaka??mwanaume akimuona tu mshedede unalala.Nina hasira sana na wewe msomi uliefulia.hahahahaaaa na gazeti halijaisha.mmmmfffyyyuuuu.Cheffuuu
 
Last edited by a moderator:
Linda ulikosea sana kumtukana wema IG kwani hajakukosea. Pia wewe ni mama acha kutukana. Wakikukosea wafungie vioo siku zisonge. Otherwise long time nakukubali flani.

Mimi sifuatilii wala sijui kinachoendelea IG ila huyo Lucifer anamtumia Wema kama sheen guard kitu ambacho si sahihi.

Huyu Lucifer anawachokoa chibu Dangote na Zari lakini wenzake wala hata muda hawana wako busy kuhesabu mapesa wanayoingiza daily.

Wema she is innocent ila ni muhanga wa matendo ya Lucifer.
 
What beef? Mnakuza tu mambo! Huu ni ukaribisho nashangaaa mnashindwa kufunika kombe mwanaharamu apite dakika 2 tu.

Kama hutojali naomba rudisha avatar yako ya awali, nimeskitika sana umeitoa! Niko radhi nikupm email address yangu unitumie, mambo sijui ya kwini nani sijui mie sina dili nayo kwanza mtu mwenyewe ni aged na kishakamatiwa na njemba so sina la kuchangia! Naomba kwa hisani yako rudisha avatar ya zamani huwa inanikosha sana!
 
Mimi sifuatilii wala sijui kinachoendelea IG ila huyo Lucifer anamtumia Wema kama sheen guard kitu ambacho si sahihi.

Huyu Lucifer anawachokoa chibu Dangote na Zari lakini wenzake wala hata muda hawana wako busy kuhesabu mapesa wanayoingiza daily.

Wema she is innocent ila ni muhanga wa matendo ya Lucifer.

Hekima ikitumiwa huwezi attack innocents . .. though something somewhere isn't right kwa madame LA watoto wake walitukanwa sana (siku hizi namkubali kiaina). All in all wapotezeane then km inalipa kwa wote wapatane.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom