Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
​Kweli kabisa.......!!!!!!All in all .....Linda is beautiful.....hilo tu....
Mkuu asante, alinitangulia darasa, si unajua tena mambo ya primari, sisi wa darasa la nyuma ndio tunawajua ma Eloway, alipomaliza alikwenda IST and that was the end, never heard of him!, we are talking about over 30 years!, hivyo anaweza hata asininjue!, kwa vile mimi pia ni mtu wa kufika maeneo, it's good tukutane tuu by chance, nijitambulishe, na tena kama unavyojua sisi wengine wenye damu ya kunguni, maana wife wake she is a woman of the people, huko ndiko nitakakoingilia!.Thanks.Pasco.Nb: Pasco haya yote nimeyafanya kwa kibali rasmi cha familia ya mteja wangu na Mume wake ambaye ni school mate wako maana naye walimuattack huko kwenye blog zao, na kama mmepoteana muda mrefu naomba uje inbox nikuconnect na Mali Kimesera mna mengi ya kubadilishana mawazo.
Mkuu asante, alinitangulia darasa, si unajua tena mambo ya primari, sisi wa darasa la nyuma ndio tunawajua ma Eloway, alipomaliza alikwenda IST and that was the end, never heard of him!, we are talking about over 30 years!, hivyo anaweza hata asininjue!, kwa vile mimi pia ni mtu wa kufika maeneo, it's good tukutane tuu by chance, nijitambulishe, na tena kama unavyojua sisi wengine wenye damu ya kunguni, maana wife wake she is a woman of the people, huko ndiko nitakakoingilia!.Thanks.Pasco.
Matola lynda ni mtu wako kumbe?
Hii sio haki!, yaani umeweka hadi picha yangu, na kutoa siri ya kazi yangu kuwa mimi ni dereva!, sheria za jf si zinakataza kutoa identity ya mtu au kumfananisha, hata kama unamjua?!, nitakuripoti kwa mode na utakula ban!.PASCO KAZINI
PASCO KAZINI
Linda ulikosea sana kumtukana wema IG kwani hajakukosea. Pia wewe ni mama acha kutukana. Wakikukosea wafungie vioo siku zisonge. Otherwise long time nakukubali flani.
What beef? Mnakuza tu mambo! Huu ni ukaribisho nashangaaa mnashindwa kufunika kombe mwanaharamu apite dakika 2 tu.
Mimi sifuatilii wala sijui kinachoendelea IG ila huyo Lucifer anamtumia Wema kama sheen guard kitu ambacho si sahihi.
Huyu Lucifer anawachokoa chibu Dangote na Zari lakini wenzake wala hata muda hawana wako busy kuhesabu mapesa wanayoingiza daily.
Wema she is innocent ila ni muhanga wa matendo ya Lucifer.
Linda ulikosea sana kumtukana wema IG kwani hajakukosea. Pia wewe ni mama acha kutukana. Wakikukosea wafungie vioo siku zisonge. Otherwise long time nakukubali flani.
Mrembo upo busy weyeee
Hapo shepu vipiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?