Naona hii thread inawahusu wadada tu, haya mie nimepita kuwajulia hali tu, napita zangu???
Wadada na matola
Na hii Diploma ya Leyla usisahau kuipeleka.
na mchangiaji je?!!!
Under privacy grounds personal information inabidi zilindwe hata kama simjui mtu huyo. Habari imekaa kimbea mbea tu hakukuwa na haja ya kudisclose info za mtu.
Ndio hapo ushangae na wewe.Wanamsema mleta mada ila wanasahau na wao wapo bado humu wanachangia.Hahahaha πππ
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa approximation. Ukikuta mahali wamekaa wadada 8 na wanaume 2 basi una-approximate kuwa pale wamekaa wadada 10!
Ndio hapo ushangae na wewe.Wanamsema mleta mada ila wanasahau na wao wapo bado humu wanachangia.Hahahaha πππ
Na watakesha hapa hapa wanavyopenda umbea mpaka sasa thread ina viewers 900+
Tunamponda Shigongo yeye ndio anazidi kuwa tajili kwa kuuza umbeya.
Mitanzania minafki sana.
Huyu dada mrembo sana na wanaoendeleza bifu nae wanawish kuwa kama yeye
Basi sawa, tatizo yule mke wa zeru zeru anapenda tuu ugomvi, kwani hayajui hayo? anayajua sana tatizo anapenda ligi...
Ndio hapo ushangae na wewe.Wanamsema mleta mada ila wanasahau na wao wapo bado humu wanachangia.Hahahaha πππ
Wadada na matola
Hujui kuwa wanaume ni wambeya kuliko wanawake, kilichowaleta humu ni umbeya, afu umbeya sio jambo la ajabu wamuulize Ryan secrasy
Basi sawa, tatizo yule mke wa zeru zeru anapenda tuu ugomvi, kwani hayajui hayo? anayajua sana tatizo anapenda ligi...
wabongo tuna matatizo sijui ya vurugu za maono!
humu jf kuna watu nimegundua wana mabeef ya chini kwa chini so km wanatufatana flani hivi!
ukireact kidogo wakushtaki upigwe ban
tatizo nyotaaaaaaaaa