Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Under privacy grounds personal information inabidi zilindwe hata kama simjui mtu huyo. Habari imekaa kimbea mbea tu hakukuwa na haja ya kudisclose info za mtu.

So bad hizo info alizidisclose yeye mwenyewe kwenye ig page yake.
 
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa approximation. Ukikuta mahali wamekaa wadada 8 na wanaume 2 basi una-approximate kuwa pale wamekaa wadada 10!

Mkuu umenikumbusha hesabu,kuna topic moja nilisoma form 2 inaitwa congruence and similality.sio lazima vitu vifanane kwa kila aspect useme ni sawa ili mradi viwili vifanane kati then inaconclude vyote ni sawa.Bahati mbaya uhasibu umenisaulisha hesabu
 
Ndio hapo ushangae na wewe.Wanamsema mleta mada ila wanasahau na wao wapo bado humu wanachangia.Hahahaha 😀🙁😀

Na watakesha hapa hapa wanavyopenda umbea mpaka sasa thread ina viewers 900+

Tunamponda Shigongo yeye ndio anazidi kuwa tajili kwa kuuza umbeya.

Mitanzania minafki sana.
 
Basi sawa, tatizo yule mke wa zeru zeru anapenda tuu ugomvi, kwani hayajui hayo? anayajua sana tatizo anapenda ligi...

Hakuna tena ligi mimi kama wakili nimemtaka mteja wangu akija hapa achangie kawaida tu cha msingi ukweli nimeuweka wazi Linda siyo mkimbizi, kama anapenda ligi aendelee kujiburudisha na watu wake ambao amewaambia yeye ni mzuri kuliko Zari na wanampigia makofi.
 
Ndio hapo ushangae na wewe.Wanamsema mleta mada ila wanasahau na wao wapo bado humu wanachangia.Hahahaha 😀🙁😀

wabongo tuna matatizo sijui ya vurugu za maono!
humu jf kuna watu nimegundua wana mabeef ya chini kwa chini so km wanatufatana flani hivi!
ukireact kidogo wakushtaki upigwe ban
 
Pole sana Linda,I just hope you can put whatever pain that bi*tch has caused you behind..and move on......Mange is a mental case alijidai matusi na ile misukule yake akakuta km ni matusi watu wanayajua akaishia kureport......mnh....anyway am glad she did that.....as some of us we dont like seeing two grown up ladies fighting...

WEWE MANGE NA WEWE GROW UP FOR ONCE!...KUVICTIMIZE WATU NA LIBLOG LAKO LITAKUJA KUKUCOST SIKU MOJA,ITS OK KUMPENDA WEMA UNAMUITA MDOGO WAKO INGAWA MWENYEWE ANAKUCHUKULIA KIMACHALE MACHALE ..... AGAIN ITS OK KUMPENDA WEMA ILA SIO KUMVICTIMIZE ZARI IN THE PROCCESS....INGAWA UNADAI ULIKUWA VITANI..I HOPE UMEJIFUNZA NEXT TIME NOT TO CROSS THE LINE....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom