Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
wauzaji mafundi eeeeheeeee mbona cheo kikwabwa sana umetoa!!!????? eeeeheeeeee usisahau na sembe ndukiiiiiiiiiiii
Yaani nyie ambao hiyo ya sembe ndo mmeona tuhuma ya kumnyongea kila saa huwa nawashangaa sana.
Cha ajabu mwenyewe alishaliongelea na kulitolea ufafanuzi kitambo na watu tushaelewa.
All in all let people move on with their businesses.
