Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
wauzaji mafundi eeeeheeeee mbona cheo kikwabwa sana umetoa!!!????? eeeeheeeeee usisahau na sembe ndukiiiiiiiiiiii
Na hapo anadai kasoma, sijui angekuwa hajasoma ingekuwaje
hayo ya wengine mnayoyaongelea kila saa wenyewe pia si wameyatolea ufafanuzi...huwa mimi pia nawashangaaYaani nyie ambao hiyo ya sembe ndo mmeona tuhuma ya kumnyongea kila saa huwa nawashangaa sana.
Cha ajabu mwenyewe alishaliongelea na kulitolea ufafanuzi kitambo na watu tushaelewa.
All in all let people move on with their businesses.
Matola huna tofauti yoyote na Dina marios au Gea habibu and the co
Mtoto wa kiume unapenda kushabikia upuuzi wa kike kike sana
Naona LINDA BEZUIDENHOUT kaamua ajiunge jf.....
Karibu sana (kama wewe ndio linda mwenyewe)
Halahala zile.lugha zako tu huku.kuna ban za kufa mtu
hayo ya wengine mnayoyaongelea kila saa wenyewe pia si wameyatolea ufafanuzi...huwa mimi pia nawashangaa
Naomben msaada juu ya kuandika post huku jf maana nashindwa
Yaani nyie ambao hiyo ya sembe ndo mmeona tuhuma ya kumnyongea kila saa huwa nawashangaa sana.
Cha ajabu mwenyewe alishaliongelea na kulitolea ufafanuzi kitambo na watu tushaelewa.
All in all let people move on with their businesses.
Wayaseme basi na ya Albert Rwehumbiza kupewa tigo break pumbu ,au wanayaona ya Linda tu
Teh! Teh!
Halafu hilo bomu lilikuja live live kabisa hakuna ambae hakuliona!
Yaani nyie ambao hiyo ya sembe ndo mmeona tuhuma ya kumnyongea kila saa huwa nawashangaa sana.
Cha ajabu mwenyewe alishaliongelea na kulitolea ufafanuzi kitambo na watu tushaelewa.
All in all let people move on with their businesses.
Naona LINDA BEZUIDENHOUT kaamua ajiunge jf.....
Karibu sana (kama wewe ndio linda mwenyewe)
Halahala zile.lugha zako tu huku.kuna ban za kufa mtu
Wayaseme basi na ya Albert Rwehumbiza kupewa tigo break pumbu ,au wanayaona ya Linda tu
hhhhhhhhaaaasaaaaaa
hhhhhhhhaaaaaaaaaaa
dinaaaaaa
halafu weweee!!!ohoooooooooo
Ni balaaa
ntakusapraizi uliee weweeeee