EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017


Naomba Mambo yasibadilike wapi MOTOCHINI Sam
 
Ni wakati sasa wakenya wote haswa viongozi wa vyama vyote vya siasa wakajifunza kukubali kupokea matokeo!

Kukubali matokeo ni demokrasia kubwa kuliko zote!
 
And the people of Kenya have spoken it's Uhuru again.
 
Hivi kichwa cha habari kiko sawa na yalioandikwa ndani?? Au Mimi ndio sijui kusoma

mwanza kwetu
Huyu muandishi naona kuna upande amefungana nao , ndio maana matokeo yame mchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…