Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Embu Uhuru ana kura 800, Raila ana kura moja tu aisee hii kali.Namna hiyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu Uhuru ana kura 800, Raila ana kura moja tu aisee hii kali.Namna hiyo...
Vituo vingi havijaripotiwa. Kuna sehemu zingine bado kura zapigwa
all in all, dalili hii siyo nzuri kwa Raila. LAKINI:Vituo vingi havijaripotiwa. Kuna sehemu zingine bado kura zapigwa
Kambi za Uhuru hizo Raila kaambulia kidogo sana,Kisumu nako Raila kapata kura asilimia 100,wengine wote zero.Ama kweli ukabila hautakuja kuisha Kenya.Kwa hayo matokeo ni kambi za Jubilee au ni kwa NASA?
All the best Uhuru
Halafu utakuta huku wakotangaza ni kwa Uhuru ni mapema sanabado vituo ni vingi sana!!!
Ngoja tusubiriKambi za Uhuru hizo Raila kaambulia kidogo sana,Kisumu nako Raila kapata kura asilimia 100,wengine wote zero.Ama kweli ukabila hautakuja kuisha Kenya.
Umepoteza muda wako Bure tu bora ungelala uongeze Muda wa kuishi, jinga kabisa weweNimempa kazi mmoja na kumtimua mwenzakeView attachment 560957
Acha kujipendekeza rudi huko huko kwa Jaluo lenuUhuru ndiye mshinda.