EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Kwa taarifa yako wabunge wa Kenya ambao wapo ndani ya Rift Valley region ndio waliomfata Lowassa hadi Monduli kuja kutafuta support, kwa Mzee asie na kinyongo,na asie taka makuu.
Kura za uraisi wa Kenya zinakuja kuombwa Monduli?
 
Maajabu zaidi yalianzia pale Odinga akiwa Mpinzani mkuu Kenya alipoamua 2015 Kutowaunga Mkono wapinzani UKAWA badala yake akaunga Mkono CCM chama tawala kwa sababu Magu ni rafiki yake.Au hayo sio maajabu kwako boss?
Hayo kwa wana ccm wanaona siyo maajabu

In God we trust
 
Hivi kile kituo cha NASA cha kuhesabu kura kilichoko Tanzania hakifanyi kazi au ilikuwa mbwembwe tu za Odinga?
 
Nawapongeza Wakenya kwa uamuzi wao. Sina uhakika Raila kama angechaguliwa angewaongoza Wakenya kwa namna gani lakini nina uhakika jinsi Uhuru anavyowaongoza Wakenya kwa upendo pamoja na ukweli kuwa karibu 45% ya anaowaongoza ni watu wanaomwunga mkono mpinzani wake.

Viongozi wa Tanzania wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Uhuru kama tunataka kuikuza na kuitunza demokrasia Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…