Ndugu wa Trump
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 958
- 703
Hana kazi za kufanya Siku hizi kajipeleka Kenya, harambee haalikwi kafuliaKwa taarifa yako wabunge wa Kenya ambao wapo ndani ya Rift Valley region ndio waliomfata Lowassa hadi Monduli kuja kutafuta support, kwa Mzee asie na kinyongo,na asie taka makuu.
Sent using Jamii Forums mobile app