EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Tume ya Huru ya Mipaka na Uchsguzi Kenya ime-prove kuwa thousands miles ahead ya Tume ya Lubuva. Wakenya na serikali yao wametambua thamani na maana ya uchaguzi kuwa wa haki na huru. Tangu kampeni wagombea wote walitii sheria, hata Rais Kenyatta, nilishuhudia saa 12.00 jioni amefunga mkutano wa kampeni kama sheria inavyotaka, yaani tofauti kabisa na huku kwetu.

Ktk uchaguzi unaoondeshwa kwa uwazi wa namna hii na tume ya namna hii, wapigakura na wananchi kamwe hawawezi kubali kushawishiwa kuingia barabarani na kuleta vurugu. Tanzania lazima tujifunze kwa wenzetu wa Kenya, tusisubiri hadi tuingie kwenye vurugu za uchaguzi. Mwenye akili hujifunza kutokana na makosa na mafanikio ya jirani yake.

Vv
 
Hadi , tunavyoongea NASA wamekataa Matokeo.

Kwa.sababu, ujumlishwaji wa matokeo haufuati utaratibu na Laila Odinga anadai hawajui matokeo yanayojumlishwa na IEBC hawataji yanatoka kituo kipi hasa cha uchaguzi.

Mimi Poise, sasa hivi napanga nguo kwenye briefcase yangu ili nikasimamie "mazungumzo ya kidiplomasia". Maana, wakipigana tu ndiyo natengeneza Pesa/Doooo.
 
Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga

What goes around always comes around
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…