LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Uhuru hadi sasa 7,684,411Zilisohesabiwa hadi dakika hii, Uhuru 3.2million Raila 2.6million.
Raila hadi sasa 6,310,940
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru hadi sasa 7,684,411Zilisohesabiwa hadi dakika hii, Uhuru 3.2million Raila 2.6million.
Mmh...anasema damu isiyo na hatia ya musando imemwagika kwa ajili tu ya madarakaRaila kaliamsha uko, anasema system ya IEBEC imekua hacked kwa kutumia ID ya Musando.
sijui alifikiri atashinda wakenya tumemkataaRaila Odinga LIVE
Anataka kuleta nini tena huyu mzee ..asije akavuruga amani
What goes around always comes around
Tumewakataa maccm
In God we trust
Raila kaliamsha uko, anasema system ya IEBEC imekua hacked kwa kutumia ID ya Musando.
Kwani Msando alikuwa kwa maslahi ya NASA?Raila kaliamsha uko, anasema system ya IEBEC imekua hacked kwa kutumia ID ya Musando.
Kumbe we mzee ni mkenyasijui alifikiri atashinda wakenya tumemkataa
Ameeni, I love the boy, very humble, very kind, very trustworthy, very Faithful, God be with Kenya!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
eeeeh mupe vidonge vyake huyo...Wakitengeneza Kenya nongwa. Mbona Mwaka Juzi Januari alitengeneza mkanyamaza
Mimi nataka uhuru ashinde ila alichosema raila kina ukweliRaila kaliamsha uko, anasema system ya IEBEC imekua hacked kwa kutumia ID ya Musando.
Pamoja sana mkuu...na mambo yake yote; na marafiki zake wote; na dhuluma zake zote.
Washindwe ktk jina la yesu
Walipiga vigeregereWakitengeneza Kenya nongwa. Mbona Mwaka Juzi Januari alitengeneza mkanyamaza