EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Ndio maana tumeamuka mapema kumuangusha, hatuko tayari kurudishwa nyuma kimaendeleo kwa sababu ya masilahi ya mtu mmoja
Nimefurahia sana uliyoyasema ni kweli kabisa . The thing i dislike the most about Odinga ni kwamba anaweka maslahi yake mbele na maslahi ya Kenya nyuma yake.And he doesn't think any state institution can hold him accountable (hizo ni red flags za dictator)
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

povuuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116]

jibu zuri..[emoji122] [emoji122][emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna wale wa Mombasa mzee wanaongea na kuandika kiswahili nyoko haswa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe nyoko eeh? Mimi si wa Mombasa jombaa, kwetu ni Kajiado County, kura yangu nimeipigia hapa hapa home. Sisi ndo majirani kabisaa, Namanga ipo ndani ya County ya Kajiado. Kesho kutwa ntakuwa kwenye biashara zangu pale Tarakea. Aisee, nimewamisi sana hao warembo wenu wa Rombo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaka na dada zangu wa Kenya Niwatakieni Uchaguzi mwema, Amani ni muhimu kuliko Raila na Uhuru. Itunzeni kwa bidii yote.
[HASHTAG]#KEelection2017[/HASHTAG]
 
Sitarajii Uhuru ashindwe na akishindwa nitashangaa sana.

Hiyo ni kwa sababu incumbents Afrika mara 9 kati ya 10 huwa hawashindwi.


Ni wapi ambapo incumbent hushindwa Uchaguzi kirahisi? Kama unafikiri ni Afrika tu?
 
Ni wapi ambapo incumbent hushindwa Uchaguzi kirahisi? Kama unafikiri ni Afrika tu?
Upo sahihi kabisa.

Hii ipo dunia nzima ikiwepo Marekani na nchi zingine za Magharibi, inaitwa The Power of Incumbency.
icumbence yenyewe ni factor muhimu sana inayofavour wengi
 
😀 😀 😀 😀 😀 Duh! Umemchinjia baharini Raila Odinga! Wewe mbaya kweli, yaani hutaki hata damu ionekane?!... 😀 😀 😀 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…