balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hata kwa jina la Allah,washindwe na walegeeWashindwe ktk jina la yesu
In God we trust
hahaha huyu mjaluo alifikiri awamu hii atashinda tumemkataa kwa mara nyingineKumbe we mzee ni mkenya
Hongera kwa uhuru kenyata
Duuuuh kama imenza hii tuwaombee wakenya
akili za kitoto unaombea wenzio wapigane
Amiiiinaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Asante sana mzee wa muleba kwa kuwa mzareendoo
Unajua hadi kwetu mkuu,hebu nibrief pm,tufahamianeAsante sana mzee wa muleba kwa kuwa mzareendoo
In God we trust
Ingekuwa bongo huyu jamaa angejikuta yupo moi
Kweli Wakenya wako mbali...sina hakika kama huyu jamaa angeruhusiwa kupiga kura hapa kwetu na polisi wetu...!
Usiwe na shaka mkuu nitafanya hivyo
Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga
What goes around always comes around
Kajimaliza mwenyewe kwa kutojua kuchagua rafiki wa kweliSo sad kwa odinga
Four times loosing the election
Kuna watu hawana bahat kwenye maisha
Unaweza mkufuru Mungu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Pato vipi?usijisumbue mzee..siunajua Rao ni lazima azue mtafaruku?tumeshamzoea muda mrefu sasa..hizo theories zake hatuzihitaji kama keshashindwa akubali tu hakuna namna..Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga
What goes around always comes around
Kweli lakini hapa saii ndio ana come na hizo allegationsurongo kashindwa tu
Kauli yake tu ni tata kusema uhuru must go..Pato vipi?usijisumbue mzee..siunajua Rao ni lazima azue mtafaruku?tumeshamzoea muda mrefu sasa..hizo theories zake hatuzihitaji kama keshashindwa akubali tu hakuna namna..
i thought Nasa made kenyans believe that wapo kamili nobody will hack or even steal thier votes sasa wanalalamika nini...i guess mahackers wao wameshindwa kuingia servers za IEBC...poor RailaHacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga
What goes around always comes around