EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

1c740b0e041d18d6d42c402ca301e272.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hapa kuna wizi wakenya kinukisheni haiwezeka tangu usiku asilimia za Uhuru ni zilezile 54 na Odinga 44 hata kura mpya zitoke ila asilimia hazibadiliki hapa kuna mchezo aseeee
 
akili za kitoto unaombea wenzio wapigane

Pesa , hela, dooooo!
Mimi sitaki kungojea pesa na doooo za makinikia na Noah mara oooh oooh sijui nasikia mtu anasubiria Noah za rangi ya maji, mara rangi kasuku.

Bora wapigane tu ili ; nikawasuruhishe nipige Pesa.
 
Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga

What goes around always comes around
Pato vipi?usijisumbue mzee..siunajua Rao ni lazima azue mtafaruku?tumeshamzoea muda mrefu sasa..hizo theories zake hatuzihitaji kama keshashindwa akubali tu hakuna namna..
 
Raila Amolo Odinga (RAO) hawezi kulaumu chochote katika uchaguzi huu.., atulie, au aelekee Chato kwenye mapumziko;

1. RAO aliomba tume huru ya uchaguzi, akapewa IEBC.
2. RAO aliomba waishio nje ya Kenya wapige kura-wakaruhusiwa.
3. RAO alihitaji Uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, akaruhusiwa
4. RAO aliikosoa serikali kadiri alivyotaka-hakusumbuliwa.
5. RAO alitaka hadi wafungwa walioko magereza wapige kura, wakapata ruhusa hiyo..

Uhuru tano tena.., uhuru ni mfano wa demokrasia kamili.., ni kati ya viongozi bora na makini sana Afrika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pato vipi?usijisumbue mzee..siunajua Rao ni lazima azue mtafaruku?tumeshamzoea muda mrefu sasa..hizo theories zake hatuzihitaji kama keshashindwa akubali tu hakuna namna..
Kauli yake tu ni tata kusema uhuru must go..
anyway we pray wamalize salama wakenya

What goes around always comes around
 
Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga

What goes around always comes around
i thought Nasa made kenyans believe that wapo kamili nobody will hack or even steal thier votes sasa wanalalamika nini...i guess mahackers wao wameshindwa kuingia servers za IEBC...poor Raila
 
Back
Top Bottom