Tume ya Huru ya Mipaka na Uchsguzi Kenya ime-prove kuwa thousands miles ahead ya Tume ya Lubuva. Wakenya na serikali yao wametambua thamani na maana ya uchaguzi kuwa wa haki na huru. Tangu kampeni wagombea wote walitii sheria, hata Rais Kenyatta, nilishuhudia saa 12.00 jioni amefunga mkutano wa kampeni kama sheria inavyotaka, yaani tofauti kabisa na huku kwetu.
Ktk uchaguzi unaoondeshwa kwa uwazi wa namna hii na tume ya namna hii, wapigakura na wananchi kamwe hawawezi kubali kushawishiwa kuingia barabarani na kuleta vurugu. Tanzania lazima tujifunze kwa wenzetu wa Kenya, tusisubiri hadi tuingie kwenye vurugu za uchaguzi. Mwenye akili hujifunza kutokana na makosa na mafanikio ya jirani yake.
Vv