EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Huku kwetu wanaamini watatudhibiti tu.
 
Hakuna kitu cha hovyo kama uchaguzi, kwa nchi za africa ni upumbavu kabisa na wala simshauri mtu ashiriki uchaguzi wa kisiasa kama hajajiandaa kupigana OVER
 
kweli wa africa wanafanana kiakiri hivi unaweza kumchagua mtu kwa kuwa yupo kimjini mjini?
 
watu waliopo madarakani huwa ni wajanja sana hapo utakuta ngome zile kaunti za odinga hasa count za pwani kura zimisha hesabiwa
 
Tujifunze yote lakini kamwe tusithubutu kujifunza kuwaua wataalam wa IT; OVER!
 
Yah Octo ni Mjaluo. Hata sisi watu wa Pwani we are behind Raila but sio kwa kutoa lugha chafu namna hiyo. Huo ni uchochezi. I preach PEACE.
avata yako inasema wewe ni Mtanzania Mkenya! mbona Tanzania hatuna uraia wa nchi mbili
 
Yaani bora tu Uhuru ashinde.
Yah Octo ni Mjaluo. Hata sisi watu wa Pwani we are behind Raila but sio kwa kutoa lugha chafu namna hiyo. Huo ni uchochezi. I preach PEACE.
Bora upreach tu PEACE,msikubali mkapiganishwa wenzenu watakimbiza familia zao nje ya nchi nyie mtaambulia vilema. Kuweni wapole kama siye majirani zenu.
 
At a press conference today, the Opposition leader claimed hackers used the late Chris Msando's identity to access IEBC systems. "We have caught them. Hackers gained entry into the election database through Msando's account and directly into chairman Wafula Chebukati's account," he said.

Democracy African style.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…