EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Don't forget to mention all innocent people killed by Uhuru & Ruto.
Example. Msando, the guy from IEBC.

Any way, I'm through in arranging my items ready for a diplomatic mediation.
Acha kushadadia mtafaruku kwa wenzako weweee... tanzania upinzani ulishindwa jpm akaapishwa maisha yakaendelea... leo unashadadia mtafaruku kwa wenzako ili nini?! Pathetic!
 
Ya 2007 yanarudi.. Unajua walikosea kumwua musando.. Ile ni mistake na ni ngumu kuamin hak ktk mazingira hayo
 
Octopizzo got the right to express his feelings! Mbona kikuyus wanafanya ivo ivo
 
Tunawatakia wenzetu wawe na mioyo ya subira.Amani kwanza, vingine baadaye.
 
Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
 
Yes poor him for sure
afikirie wakenya asijifikirie yeye ...
ndo shida ya maraisi wa afrika ..they think for themselves na kujifanya wako kwa ajili ya wanyonge kumbe unafiki tu ..very selfish

What goes around always comes around
definetly they are selfish dudes who will even shed blood just to make sure thier plans are met...even Isaac Ruto who promised the numbers in Rift Valley has been sent home by a Lady....nyota njema huonekana asubuhi
 
Habari Ndugu,
Wenye updates za Uchaguzi Kenya watujuze tafadhali.
 
definetly they are selfish dudes who will even shed blood just to make sure thier plans are met...even Isaac Ruto who promised the numbers in Rift Valley has been sent home by a Lady....nyota njema huonekana asubuhi
True bro
you cant shed innocent blood and get away with it ..never...it will haunt you until its mission is done.

What goes around always comes around
 
mkuu, sikuwa na nia ya kukujibu ila imebidi tu. First of all, hiyo ni ishara kuwa watz wamechoshwa na hali halisi na wanaona ni bora kujipoza na siasa za Kenya ambazo at least ziko fair kwa kiasi chake kuliko tz. kitu kingine, watu wameshachoka na huyo dikteta aliyepo madarakani na hawana pa kusemea plus usanii kwenye government with baseless count eti uchumi unakuwa...just to fool people! inflation iko juu, cost of living ziko juu and poverty is escalating at unimaginable speed and still want people to cheer shit govt? No way....
 
True bro
you cant shed innocent blood and get away with it ..never...it will haunt you until its mission is done.

What goes around always comes around
and that Orengo guy wonder whats he lose if Raila admit defeat maana ana kiherehere utadhani ndie mgombea...kweli wapambe nuksi..
 
Uhuru Kenyatta ana kura 7.9 million, Raila Odinga kura 6.5 million. Vituo vilivyoleta matokeo 39,000 kati ya 40,000.Hayo nimatokeo ya Saa 9:13 alasiri hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…