EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Ee mwenyezi mungu, tunakuomba utushushie roho mtakatifu atufumbue akili iliyofungwa na shetani ili kuongea mama zetu, watoto pamoja na wazee huko kenya kwaaina yoyote ya fujo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • 1502290191553.jpg
    27 KB · Views: 34
izi picha ni za zamani. lete habari kutoka media za kama BBC na CNN.
hizi zote ni uchochezi na iwapo ungekuwa Kenya ungejipata mashakani kwa kueneza habari kama hizi
Kumbe unajua kuwa media za Kenya haziwezi onyesha hii habari
 


Fellow Kenyans lets maintain peace PLEASE. There is a huge tension all over the country right now. Look at what Octopizzo posted on twitter.
mkuu huku niliko mambo freshy kabisa..hamna hali yoyote yenye utata kila mtu yupo hamsini zake.. waluo,waluhya,wakisii,wakalenjin,wakikuyu,waswahili na makabila mengine mengi tunaendeleza shughuli zetu za kusaka mahela..haturudishwi nyuma na ushenzi na tamaa ya ubinafsi
 
hebu niwahi dukani kwa Onyango anikopeshe mafuta ya kula..hela yake hata siku zikipita nitampa hana tatizo...
 
Ni muhimu kuikumbuka hii historia kwani kama Uhuru atashinda tena basi ni wazi waafrika wanaamini katika misingi ile ile ya vyama vya ukombozi na sio vyama vyenye mrengo wa 'mabadiliko'
 
God of Abraham, Aizak and and Abraham, you have not yet forgotten us ,,,,Kenyans,,,thanks lord for what is happening here
in Kenya.
 
Mpaka sasa walisha kufa Watu 3
hali inazidi kuwa tete Kisumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…