EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Hakuna kitu kama hicho...aman bado inatawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2017-08-09-17-45-45.png
 
Ee mwenyezi mungu, tunakuomba utushushie roho mtakatifu atufumbue akili iliyofungwa na shetani ili kuongea mama zetu, watoto pamoja na wazee huko kenya kwaaina yoyote ya fujo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
 

Attachments

  • 1502290191553.jpg
    1502290191553.jpg
    27 KB · Views: 34
izi picha ni za zamani. lete habari kutoka media za kama BBC na CNN.
hizi zote ni uchochezi na iwapo ungekuwa Kenya ungejipata mashakani kwa kueneza habari kama hizi
Kumbe unajua kuwa media za Kenya haziwezi onyesha hii habari
 
06d08a1f6b578fef06b6f051eae69e6b.jpg


Fellow Kenyans lets maintain peace PLEASE. There is a huge tension all over the country right now. Look at what Octopizzo posted on twitter.
mkuu huku niliko mambo freshy kabisa..hamna hali yoyote yenye utata kila mtu yupo hamsini zake.. waluo,waluhya,wakisii,wakalenjin,wakikuyu,waswahili na makabila mengine mengi tunaendeleza shughuli zetu za kusaka mahela..haturudishwi nyuma na ushenzi na tamaa ya ubinafsi
 
hebu niwahi dukani kwa Onyango anikopeshe mafuta ya kula..hela yake hata siku zikipita nitampa hana tatizo...
 
Ni muhimu kuikumbuka hii historia kwani kama Uhuru atashinda tena basi ni wazi waafrika wanaamini katika misingi ile ile ya vyama vya ukombozi na sio vyama vyenye mrengo wa 'mabadiliko'
 
God of Abraham, Aizak and and Abraham, you have not yet forgotten us ,,,,Kenyans,,,thanks lord for what is happening here
in Kenya.
 
Mpaka sasa walisha kufa Watu 3
hali inazidi kuwa tete Kisumu
 
Back
Top Bottom