Wambandwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 2,249 Reaction score 832 Aug 12, 2017 #1,221 'Serikali ya Kenya inanizidi senti tano' Kauli ya Jaramogi kwa raid Jomo Kenyatta Enzi hizo.
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Aug 12, 2017 #1,222 Vanestrooy said: Km iko hivoo basi acha Alishabibi Wawaonyeshe kazi Hao wakikuyu wameona nchi ni ya kwao naona hata Eneo kubwa la aridhi naona wao ndo wamekamata. .alafu hata awajui kulimaaaa. .. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... manyumbu ya bongo yanashangilia tuu kisa kiongozxi wao kasema uhuru yes
Vanestrooy said: Km iko hivoo basi acha Alishabibi Wawaonyeshe kazi Hao wakikuyu wameona nchi ni ya kwao naona hata Eneo kubwa la aridhi naona wao ndo wamekamata. .alafu hata awajui kulimaaaa. .. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... manyumbu ya bongo yanashangilia tuu kisa kiongozxi wao kasema uhuru yes
HOMBOY JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 1,431 Reaction score 925 Aug 13, 2017 #1,223 mtwa mkulu said: manyumbu ya bongo yanashangilia tuu kisa kiongozxi wao kasema uhuru yes Click to expand... nye NG`OMBE mliokatwa mikia wa kwenu c alisema Raila YES sasa mnalialia nini
mtwa mkulu said: manyumbu ya bongo yanashangilia tuu kisa kiongozxi wao kasema uhuru yes Click to expand... nye NG`OMBE mliokatwa mikia wa kwenu c alisema Raila YES sasa mnalialia nini