Unachoongea mkuu Zitto JR ni kitu sahihi sana. Wakenya wengi wanaongelea mambo ya kisiasa kwa mihemuko ya kikabila na siyo uhalisia. Jamaa wanaoongelea waangalizi wa kimataifa, wanashindwa kuongelea waangalizi wa ndani na mashirika ya kiraia wanaodai kuna tofauti kati ya matokeo yanayotangazwa na tume na idadi kamili walizochukua wenyewe live vituoni.
Ukweli wa mambo ni kwamba, Rutto hataungwa mkono na wakikuyu come 2022. Hao jamaa ni wabinafsi sijawahi kuona. Malalamiko haya ya figisu katika uchaguzi hayataisha Kenya kama wataendeleza tabia hii ya uharamia.