OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yani ni DOMO KAYA la hali ya juu.Hilo lilopolopo halijawahi kuzungumza la maana hata mara moja.
Tunashukuru kwa taarifa kumbe ndo huyuNdugu zangu huyu ndio mwenye faili kule mirembe.
Na nyie mkiona ameongea ujinga muwe mnampotezea, mnapoleta upuuzi wake huku mnamdhalilisha tu.View attachment 1849449
Huu ni ushauri wa kusisimua. Kwa kuwa tuna nafasi 2 CAFCL basi Bingwa wa Zanzibar ashiriki na bingwa wa bara (ambaye kwa msimamo ulivyo inaweza kuwa Yanga 🤣🤣🤣).
Simba na wenzake wabakie kombe la CAF, tutoe nafasi kwa wenzetu
Amewashika akili mashabiki wa simbilisi FC, kila atachozungumza wanakubaliananaeHilo lilopolopo halijawahi kuzungumza la maana hata mara moja.
mbona bingwa wa Zanzibar ana nafasi yake CAF CL au mnakurupukaView attachment 1849449
Huu ni ushauri wa kusisimua. Kwa kuwa tuna nafasi 2 CAFCL basi Bingwa wa Zanzibar ashiriki na bingwa wa bara (ambaye kwa msimamo ulivyo inaweza kuwa Yanga 🤣🤣🤣).
Simba na wenzake wabakie kombe la CAF, tutoe nafasi kwa wenzetu
Mbumbumbu na NYANI / MBWA wa kubwekabweka nan HATARI. Yule aliyekuwa kocha wenu (MZUNGU) MUNGU AMBARIKI KWA UONO WAKE JUU YENUALIYEWAPA JINA LA MBUMBUMBU ALIONA MBALI SANA PONGEZI KWAKE.
Unakataa m200 kwa mwezi tena ya maudhuhi tu ya TV unashangilia m70 ya ubingwa kwa msimu mzima. Hii ni akili au matope?
Unakataa m200 ya maudhuhi ya TV kwa mwezi unakubali kugawa timu milele kwa familia kwa B20 tena hujapewa unazungushwa tu. Mkiitwa mbumbumbu ni vibaya?
Mchezaji anayelipwa pesa nyingi pale Mikiani ni chama anapokea m18 kwa mwezi sasa piga mahesabu ungelipa wachezaji wangapi wazuri kwa mwezi hiyo m200 hau hilo hamfikilii?
SIYO KISA MMEITWA MBUMBUMBU NDIYO MTUONESHE UMBUMBUMBU WENU BADILIKENI MNATAKIWA MUAMKE.
unachangia mada gani wewe UtopoloALIYEWAPA JINA LA MBUMBUMBU ALIONA MBALI SANA PONGEZI KWAKE.
Unakataa m200 kwa mwezi tena ya maudhuhi tu ya TV unashangilia m70 ya ubingwa kwa msimu mzima. Hii ni akili au matope?
Unakataa m200 ya maudhuhi ya TV kwa mwezi unakubali kugawa timu milele kwa familia kwa B20 tena hujapewa unazungushwa tu. Mkiitwa mbumbumbu ni vibaya?
Mchezaji anayelipwa pesa nyingi pale Mikiani ni chama anapokea m18 kwa mwezi sasa piga mahesabu ungelipa wachezaji wangapi wazuri kwa mwezi hiyo m200 hau hilo hamfikilii?
SIYO KISA MMEITWA MBUMBUMBU NDIYO MTUONESHE UMBUMBUMBU WENU BADILIKENI MNATAKIWA MUAMKE.
Bao lenyewe lile lilikua la mapema ila nashukuru limetunga ujauzito, tarehe 25 ni kuendelea tu kumkuza mwamedi tumboni so ntakupiga viwili tu my wife wanguMbumbumbu na NYANI / MBWA wa kubwekabweka nan HATARI. Yule aliyekuwa kocha wenu (MZUNGU) MUNGU AMBARIKI KWA UONO WAKE JUU YENU
Mm mada yoyote yenye usimba na UMBUMBUMBU ndani yake lazima niandike kwa kukeraaaunachangia mada gani wewe Utopolo
wale wale wenye mafaili mirembeMm mada yoyote yenye usimba na UMBUMBUMBU ndani yake lazima niandike kwa kukeraaa