ALIYEWAPA JINA LA MBUMBUMBU ALIONA MBALI SANA PONGEZI KWAKE.
Unakataa m200 kwa mwezi tena ya maudhuhi tu ya TV unashangilia m70 ya ubingwa kwa msimu mzima. Hii ni akili au matope?
Unakataa m200 ya maudhuhi ya TV kwa mwezi unakubali kugawa timu milele kwa familia kwa B20 tena hujapewa unazungushwa tu. Mkiitwa mbumbumbu ni vibaya?
Mchezaji anayelipwa pesa nyingi pale Mikiani ni chama anapokea m18 kwa mwezi sasa piga mahesabu ungelipa wachezaji wangapi wazuri kwa mwezi hiyo m200 hau hilo hamfikilii?
SIYO KISA MMEITWA MBUMBUMBU NDIYO MTUONESHE UMBUMBUMBU WENU BADILIKENI MNATAKIWA MUAMKE.