Exclusive: Wachezaji wa Uganda Cranes Okwi na Murshid wasema akipangwa Mkude katika Kiungo watafungwa Kiurahisi


Endelea tu Kujijaza mwenyewe katika ' Frame ' ili ' nikuwashe ' vizuri halafu uanze Kunilalamikia, Kunilaumu na Kuninunia.
 
Uliwahi kudanganya watu humu Eti wewe ni mjukuu wa Nyerere ni matusi Makubwa kwa Baba wa Taifa kuwa na mjukuu mswahili, popoma, kilaza ,kama wewe katafute sifa sehemu za wajinga kama wewe ila sio huku.
 
Kulikuwa na ulazima wa kutukana namna hii?
Jitafakari mkuu.
Let's make JF a better place for discussion and debating with strong logical arguments.

Wasikupe shida wala taabu hao Mkuu kwani nimeshwazoea na ninawamudu vilivyo hata wakiwa 100 hapa Jamvini kwa wakati mmoja. Siyo tatizo lao na wasamehe sana kwani kinachowasumbua hadi wanapata matatizo nami ni aina ya ' Ubarikio ' wa Kipekee alionibariki nao Mwenyezi Mungu huku pia akinizawadia na ' Shani ' zangu kadhaa hivyo mwishowe kunifanye niwe " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kabisa.

Na kwa Kukuongezea lingine Mkuu ni kwamba hao Watu wote ambao unawaona huwa wananishambulia, wananidhihaki na kunitusi mara kwa mara 99.9% yao ndiyo hao hao huwa wakiingia tu hapa Jamvini ( Log In ) ni lazima tu watatafuta ' Uzi ' wangu mpya wa Siku hiyo wauone au watatafuta ' Bandiko ' langu lolote katika ' Uzi ' wa Mtu mwingine niliochangia. Hivyo najiona ni Mshindi Kwao kwani ' Logically ' tu haiwezekani Mtu ukawa humpendi na unamchukia GENTAMYCINE na kumuhubiria mabaya hapa 24/7 halafu bado ukawa unamfuatilia.

Akhsante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya GENTAMYCINE niwe hivi.
 
Nashangaa kwa nini Amunike ktk mfumo wake ambao mara nyingi ni defensive huwa hampangi Mkude.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa kwa nini Amunike ktk mfumo wake ambao mara nyingi ni defensive huwa hampangi Mkude.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona Kitu chochote GENTAMYCINE anakipenda jua hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake Mikaela na Jibrili nao wanakipenda vile vile tena kwa 100%. Kwa Tanzania ya sasa na hata Afrika Mashariki bado sijaona ' Talented Holding / Defensive Midfielder ' kama Mluguru Jonas Gerald Mkude. Simba SC sasa hivi tunaenda kupata ' Mamilioni ' kama siyo ' Mabilioni ' ya Pesa wa Kumuuza katika Vilabu vikubwa.
 
Coach Amunike aligundua ujanja wa Uganda hakumpanga mkude
 
Mbona mudathir ameupiga mwingi leo

Yeah, katika Game ambazo niliwahi mkubali Mudathid basi hii ndio numara uno... Ameupiga mwimgi sana pale kati ... Alituliza team, hakuwa na papara hata kidogo
 
Umeumbuka! Huyo mumeo uliomsifia ulimuona akicheza Jana? Na je timu imefungwa? Ndiyo shida ya kuwa mwanaume mbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunae ujua mpira hii Tanzania nzima hatuna mirldfild na ndio maana Tanzania tunakwama tuna mildfeldy za kukaba tu sio za kuchezesha timu
huyo alioandika na hayo waganda bado Mpira hawajui
Umenifurahisha sana.. We kweli unaujua mpira...huwa namwangalia sana James kotei na mkude pale simba! . ila fei Toto anajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…