GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Huyu ni kada wa kudumu wa mnyamaa. Pia sio mpenzi hata wa kuombea chumvi kwa vyura. Yaani yeye na ndala ni vitu viwili tofauti
Nashukuru kwa kunijibia ' Afande '.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kada wa kudumu wa mnyamaa. Pia sio mpenzi hata wa kuombea chumvi kwa vyura. Yaani yeye na ndala ni vitu viwili tofauti
Weeee Genta awe mwana yanga?Hakuna lolote mweny kuleta hii habar mwenyew inaonekan tu kuw ana wivu si kidogo nani lazma tu awe ni mwana jangwani.
Sasa kuhaha nini mkuu? Mbona wachezaji ni wengi sana.naonaaa umeendaa mbali issue sioo kuishii Yanga
Jamaa alihaidiwa mil 90 cash zinazobaki atalipwa vaadae wasanii wa mbezi beach wamevuta mil 90 simba wanataka kumpa 70 kwanza usiulize 20 zikowapi. Na mpaka sasa viongozi wanahaha wataongeaje kwa wanambasi
Wanauharibu kivipi?embu nenda kwanza kajifunze kuandika wewe KKK halafu ndio urudi hapa.Yani simba na yanga ndo wanao alibu mpila bongo
Toa maelezo ya kina. Wanaharibu vipi?Yani simba na yanga ndo wanao alibu mpila bongo
Sio kila mchezaji anazo sifa za kuchezea Simba au yanga.Sasa kuhaha nini mkuu? Mbona wachezaji ni wengi sana.
Frank,vipi Kampeni kwa Mzee, xinaenda vizuri?Wanauharibu kivipi?embu nenda kwanza kajifunze kuandika wewe KKK halafu ndio urudi hapa.
Zinaenda vizuri sana na tulipofikia hakuna wakutuzuia.Frank,vipi Kampeni kwa Mzee, xinaenda vizuri?
Nyie si mnajiita mambumbumbu endeleeni kuamini tu , hayo tuliyasema tangu mwanzo hamkuamini bado ya Aishi Manula yanakuja
Ila kwa jinsi huyu ' Rafiki ' yake walivyo ' Maswahiba ' wa Kindakindaki na Niyonzima hata Mimi Mkuu naanza kuingiwa na hofu kuwa 99% hawezi kuja Simba SC unless otherwise.
Piga ua, Kichuya lazima aanze ,Mohamed Ibrahim anaanza, Niyonzima anatokea bench na Mkude anampisha Kotei.
Piga ua, Kichuya lazima aanze ,Mohamed Ibrahim anaanza, Niyonzima anatokea bench na Mkude anampisha Kotei.
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe Junior
4. Banda
5. Murshid
6. Kotei
7. Kichuya
8.Mohamed Ibrahim
9.Boko
10. Ngoma
11. Okwi