Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu ila bado nazithibitisha zinasema kwamba.......

Sasa kuhaha nini mkuu? Mbona wachezaji ni wengi sana.
 
Mimi sioni sababu ya Wanasimba kuchukia, kama lengo kudhoofisha yanga basi linaelekea kufanikiwa , Hapo lengo ni kunyonya mihimili ya Yanga. Mtoeni na Kamusoko
 
Niyonzima kashasaini na kashalipwa stahiki zake zote sasa endeleeni kujipasua.
 

Ila kwa jinsi huyu ' Rafiki ' yake walivyo ' Maswahiba ' wa Kindakindaki na Niyonzima hata Mimi Mkuu naanza kuingiwa na hofu kuwa 99% hawezi kuja Simba SC unless otherwise.
Nyie si mnajiita mambumbumbu endeleeni kuamini tu , hayo tuliyasema tangu mwanzo hamkuamini bado ya Aishi Manula yanakuja
 
habari hizo zina ukwel ndani yake na pia inasemekana ni dili liliopangwa na wakala wake ili apandishe thaman yake kama mchezaji huru na habari za uhakika ni kwamba hana mpango wa kujiunga na simba zaidi ya kucheza yanga, APR, ST George, au El mereikh ya sudani huo ndo ukwel halisi na wala hajapokea kiasi chochote kutoka simba kama wengi wanavyoamini
 
Simba tayari washamsaini Niyonzima kwa usajili wa awali ila hawawezi kumtangaza mpaka ifike mwezi wa saba
 
Piga ua, Kichuya lazima aanze ,Mohamed Ibrahim anaanza, Niyonzima anatokea bench na Mkude anampisha Kotei.
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe Junior
4. Banda
5. Murshid
6. Kotei
7. Kichuya
8.Mohamed Ibrahim
9.Boko
10. Ngoma
11. Okwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…