Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu kutoka Kambini Yanga SC

Yanga 1 Simba 0
Gori kipindi cha kwanza mfungaji Ajibu
Yanga wataoewa kadi nyekundu moja kipindi cha pili, mchezaji hatari mmoja wa Simba kwenye forward line ataumia na kutoewa nje. Baada ya mechi Omog itakuwa safari ya kurudi Kwai imeiva.
 
Kwani viroba vimeruhusiwa!!!??????
 
Kwanza mimi huwa naona Kakolanya ana uhafadhali kuliko Youthe Rostand. Huyu Mcameroon hatunzi mpira mkononi, akipigiwa shuti lazima auteme mpira. Sasa akikumbana na washambuliaji waliomsoma vizuri, watakuwa wanafukuzia mashuti ili wamalizie
 
GENTAMYCINE huwa ananifurahisha na uandishi wake ,nahisi huyu jamaa ni mtangazaji kwenye redio fulani najaribu ku read between the lines maandiko yake nitaijua tu identity yake soon,ila kesho msimbazi tuwapige hawa vyura hata goli 7 wawe na heshima
 
Endelea tu huko ' Kuota ' Kwako Mkuu kuhusu ' uhalisia ' wangu hasa na nini nakifanya. Mimi siyo Mtangazaji wala Mwandishi wa Habari wa Magazeti bali Mimi 100% ni GENTAMYCINE ' Purely Talented and Charismatic Fella '. Tuko pamoja Mkuu.
 
Una kipaji cha utunzi kifanyie kazi

Akhsante kwa ' ushauri ' na yawezekana miaka ijayo Kizazi cha Kitanzania kikawa kinasoma tu Vitabu vingi na vya mambo mbalimbali ambavyo vimeandikwa / vimetungwa na GENTAMYCINE. Kikubwa tuombeane tu uzima Mkuu ili niweze kutiririka na kuserereka ' Kiutunzi ' zaidi.
 
Ushilawadu umeanza lin mkuu..

Simba 2
Yanga 1
OVER....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yanga 1 Simba 0
Gori kipindi cha kwanza mfungaji Ajibu
Yanga wataoewa kadi nyekundu moja kipindi cha pili, mchezaji hatari mmoja wa Simba kwenye forward line ataumia na kutoewa nje. Baada ya mechi Omog itakuwa safari ya kurudi Kwai imeiva.
Hili ndilo nijualo
 
Well done Comrade.! Hakika umeitendea haki “ile tasnia” yako.
Nakiona kipigo kitakatifu na kitakacho acha maafa katika mitaa ya Twiga na Jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…