Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu kutoka Kambini Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nilisema tena hadi nikatamba kabisa kwamba katika mahala ambapo nikitaka kupata taarifa zake hata kama zikiwa na ugumu gani kupatikana basi ni ndani ya Klabu ya Yanga SC na tayari hivi ninavyo tiririka na kuserereka hivi nimeshapenyezewa ' nyuzi ' ambazo ni za motomoto kabisa na kama kawaida yangu naziweka wazi hapa.

Kwanza pamoja na kwamba Yanga SC wamesema wapo Kambini Mkoani Morogoro ila ukweli ni kwamba wale Wachezaji wao wa Kikosi cha Kwanza walisafirishwa ' Kimafia ' Kisiwani Pemba ili kwenda kufanyiwa Ndumba / Ushirikina kupitia Bagamoyo na aliyeliratibu hili zoezi zima ni Mkuu mmoja wa Wilaya na Mbunge mmoja ambaye Yeye na Baba yake ni wana Yanga SC wa Kindakindaki kabisa huku wakishirikiana na Mbunge mmoja wa Unguja aitwae Mr. Turki a.k.a White.

Pili hadi hivi sasa yaani ninavyoandika huu ' uzi ' ni kwamba huyo ' Mganga ' wao wa Pemba amewaambia Yanga SC kwamba ' Kinyota ' ili Kesho washinde mechi hiyo wanatakiwa wampange Golini Kipa aitwae Ben Kakolanyi ila Uongozi wa Yanga SC bado haujaafiki na sasa Viongozi wamegawanyika juu ya hili kwani Viongozi wengi wa Yanga SC hawamuanini kabisa Kipa Kakolanyi.

Tatu ni kwamba Mchezaji ambaye ametakiwa kubeba / kuvalishwa ' Hirizi ' Kesho ili ushindi uwe wa 100% ni ' Kiungo ' Thabani Scara Kamusoko ila hata hivyo Mchezaji huyo amekataa ' katakata ' kubebeshwa power bank hiyo ya Kiasili ( Hirizi ) kwa utetezi kwamba tokea aanze ' kuvalishwa / kubebeshwa ' amekuwa akipata ' majeraha ' ya ajabu ajabu sana halafu na Yeye ni mcha Mungu mzuri sana. Tayari kukataa Kwake Mchezaji huyu kumeshatengeneza ' Bifu ' kubwa kati yake na Kiongozi mmoja mwenye dhamana kubwa ya ' Utawala ' ndani ya Klabu.

Nne ni kwamba tokea juzi ' Mganga ' wao huyo wa Pemba aliwaambia Viongozi wa Yanga SC watafute Ndege aina ya ' Bundi ' lakini lazima wawe Watatu Kiidadi lakini mpaka GENTAMYCINE natiririka na naserereka hivi ' Bundi ' aliyepatikana ni mmoja tu tena ' Mtoto ' wakati ' Mganga ' aliwaambia anataka ' Bundi ' ambao ni Wahenga / Wakubwa / Wazee Watatu na sasa huko ' Kambini ' Vongozi wamechanganyikiwa.

Tano ni kwamba kuna ' Kiongozi ' mmoja wa Yanga SC wa Tawi la Zanzibar akishirikiana na ' Makomandoo ' baadhi wa Yanga SC wanafanya ' Ujasusi ' wao wa kujua ni Kikosi gani Kesho Kocha wa Simba Joseph Marios Omog atakipanga ili wakishakijua wakipeleke kwa huyo ' Mganga ' kusudi aweze kukifanyia ' Ndumba / Uchawi ' kusudi Kesho kisiwe na ' madhara ' na hatimaye Simba SC iweze kufungwa magoli mengi ila Viongozi wa Simba SC ambao wengi wao nao wanasifika kwa ' Umafia ' tena uliotukuka kabisa wamekuwa makini kuwa ' wasiri ' ambapo hadi sasa ' Kikosi ' cha Kesho bado hakijawekwa hadharani.

Sita ni kwamba wakati Viongozi wa Yanga SC wakiwa ' busy ' kuhangaika na ushindi wa Kesho kuna Wana Yanga SC wa matawi mawili makubwa yanayoongozwa na ' Kijana ' mmoja aliyekuwa ' mropokaji ' wao nao wamejipanga tokea juzi wameenda Tanga kwa yule ' Mganga ' ambaye aliisaidia Timu ya Coastal Union ya Tanga kuifunga Yanga SC katika msimu wa Ligi uliomaliza katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga ili ' aharibu ' na Yanga SC Kesho ifungwe na Simba SC kisha wao waanzishe ' timbwili ' Klabuni halafu Viongozi Wakuu wa Yanga SC ' wafukuzwe ' na wao waweke Watu wao na warudi kwani wanasema Viongozi wa sasa wamewanyima ' ulaji ' wao na wamekuwa ' wanoko ' sana Kwao.

Saba ni kwamba Yanga SC sasa wanahangaika sana kutaka kumtafuta ' Meneja ' wa Uwanja wa Uhuru ambapo mchezo utachezwa Kesho ili waweze ' kumshawishi ' mida ya jioni waingie hapo uwanjani na kitu ( naamini mmeshakijua ) ambacho hata katika ile mechi ya Simba na Yanga CCM Kirumba Mwanza ambapo Simba ilifungwa goli 3 kwa 0 waliingia nacho na ' Kukifukia ' kisha baada ya mechi ile wakakifukua na kukirudisha katika moja ya Hospitali kubwa na Mkoni Mwanza japo baadae hili tukio liliweza kuwafukuzisha Watu Kazi.

Mpaka kufikia muda huu haya ndiyo machache niliyoweza kuyapata kutoka moja kwa moja ndani ya Kambi ya Yanga SC kama vile ambavyo nimepenyezewa na Mtu ambae Yanga SC wanajua ni mwenzao lakini kumbe Kiuhalisia ni mwana Simba SC tena wa ' Kindandaki ' ambaye ndiyo huyu huyu pia aliwasaidia Simba SC katika mechi ile ya Zanzibar na ya Ngao ya Hisani.

Nawasilisha.
 
Simba mwaka huu lazima mchukue ubingwa bana.
timu moja tu (Yanga) kuwa bingwa mfululizo kila mwaka inafanya ligi yetu Bongo iwe inaboa mno yaani!
 
Ungetupa na matokeo ya kesho kabisa

Najua wana Simba SC watataka kusikia kwamba Kesho kuna ushindi ila kwa nilichokipata kutoka mahala pangu ambako siku zote ndiyo huwa nahakikishiwa ushindi wa Simba SC dhidi ya Yanga SC nawaomba Wanasimba wote tujue tu kuwa mpira wa Miguu siku zote una matokeo makubwa matatu ambayo ni:
  1. Kushinda
  2. Kutoka sare
  3. Kufungwa
Naomba niishie hapa tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
ILa twende mbele turudi nyuma jombaaa..yanga wamezid bana kila mwaka kombe lao. Sisi tuna wachezaji wakalii na wazuri lakini tunapigwa bao miaka3 mfululizo. Jaman yanga mnatuua kwa presha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naomba ku declare Interest, kwa kusema ukweli GENTAMYCINE huwa unanifurahisha sana na threads zako unapozitoa humu! Huwa sichoki kuzisoma! I wish ungekuwa unatoa kila siku. Sio hizi za soka tu hata nyingine. Keep it up bro!
 
Hili jamaa zwazwa viongozi wa Simba "mafia'toka 2012 ubingwa mnausikia unabana pua mafiiiaaa
Mada inazungumzia mechi ya Simba na Yanga hapo kesho, nashangaa unaibuka na suala la nani kuwa bingwa. Subiri kwanza, tutaelewa tu maana ya kikosi kipana!
 
Nilisema tena hadi nikatamba kabisa kwamba katika mahala ambapo nikitaka kupata taarifa zake hata kama zikiwa na ugumu gani kupatikana basi ni ndani ya Klabu ya Yanga SC na tayari hivi ninavyo tiririka na kuserereka hivi nimeshapenyezewa ' nyuzi ' ambazo ni za motomoto kabisa na kama kawaida yangu naziweka wazi hapa.

Kwanza pamoja na kwamba Yanga SC wamesema wapo Kambini Mkoani Morogoro ila ukweli ni kwamba wale Wachezaji wao wa Kikosi cha Kwanza walisafirishwa ' Kimafia ' Kisiwani Pemba ili kwenda kufanyiwa Ndumba / Ushirikina kupitia Bagamoyo na aliyeliratibu hili zoezi zima ni Mkuu mmoja wa Wilaya na Mbunge mmoja ambaye Yeye na Baba yake ni wana Yanga SC wa Kindakindaki kabisa huku wakishirikiana na Mbunge mmoja wa Pemba aitwae Mr. Turki a.k.a White.

Pili hadi hivi sasa yaani ninavyoandika huu ' uzi ' ni kwamba huyo ' Mganga ' wao wa Pemba amewaambia Yanga SC kwamba ' Kinyota ' ili Kesho washinde mechi hiyo wanatakiwa wampange Golini Kipa aitwae Ben Kakolanyi ila Uongozi wa Yanga SC bado haujaafiki na sasa Viongozi wamegawanyika juu ya hili kwani Viongozi wengi wa Yanga SC hawamuanini kabisa Kipa Kakolanyi.

Tatu ni kwamba Mchezaji ambaye ametakiwa kubeba / kuvalishwa ' Hirizi ' Kesho ili ushindi uwe wa 100% ni ' Kiungo ' Thabani Scara Kamusoko ila hata hivyo Mchezaji huyo amekataa ' katakata ' kubebeshwa power bank hiyo ya Kiasili ( Hirizi ) kwa utetezi kwamba tokea aanze ' kuvalishwa / kubebeshwa ' amekuwa akipata ' majeraha ' ya ajabu ajabu sana halafu na Yeye ni mcha Mungu mzuri sana. Tayari kukataa Kwake Mchezaji huyu kumeshatengeneza ' Bifu ' kubwa kati yake na Kiongozi mmoja mwenye dhamana kubwa ya ' Utawala ' ndani ya Klabu.

Nne ni kwamba tokea juzi ' Mganga ' wao huyo wa Pemba aliwaambia Viongozi wa Yanga SC watafute Ndege aina ya ' Bundi ' lakini lazima wawe Watatu Kiidadi lakini mpaka GENTAMYCINE natiririka na naserereka hivi ' Bundi ' aliyepatikana ni mmoja tu tena ' Mtoto ' wakati ' Mganga ' aliwaambia anataka ' Bundi ' ambao ni Wahenga / Wakubwa / Wazee Watatu na sasa huko ' Kambini ' Vongozi wamechanganyikiwa.

Tano ni kwamba kuna ' Kiongozi ' mmoja wa Yanga SC wa Tawi la Zanzibar akishirikiana na ' Makomandoo ' baadhi wa Yanga SC wanafanya ' Ujasusi ' wao wa kujua ni Kikosi gani Kesho Kocha wa Simba Joseph Marios Omog atakipanga ili wakishakijua wakipeleke kwa huyo ' Mganga ' kusudi aweze kukifanyia ' Ndumba / Uchawi ' kusudi Kesho kisiwe na ' madhara ' na hatimaye Simba SC iweze kufungwa magoli mengi ila Viongozi wa Simba SC ambao wengi wao nao wanasifika kwa ' Umafia ' tena uliotukuka kabisa wamekuwa makini kuwa ' wasiri ' ambapo hadi sasa ' Kikosi ' cha Kesho bado hakijawekwa hadharani.

Sita ni kwamba wakati Viongozi wa Yanga SC wakiwa ' busy ' kuhangaika na ushindi wa Kesho kuna Wana Yanga SC wa matawi mawili makubwa yanayoongozwa na ' Kijana ' mmoja aliyekuwa ' mropokaji ' wao nao wamejipanga tokea juzi wameenda Tanga kwa yule ' Mganga ' ambaye aliisaidia Timu ya Coastal Union ya Tanga kuifunga Yanga SC katika msimu wa Ligi uliomaliza katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga ili ' aharibu ' na Yanga SC Kesho ifungwe na Simba SC kisha wao waanzishe ' timbwili ' Klabuni halafu Viongozi Wakuu wa Yanga SC ' wafukuzwe ' na wao waweke Watu wao na warudi kwani wanasema Viongozi wa sasa wamewanyima ' ulaji ' wao na wamekuwa ' wanoko ' sana Kwao.

Saba ni kwamba Yanga SC sasa wanahangaika sana kutaka kumtafuta ' Meneja ' wa Uwanja wa Uhuru ambapo mchezo utachezwa Kesho ili waweze ' kumshawishi ' mida ya jioni waingie hapo uwanjani na kitu ( naamini mmeshakijua ) ambacho hata katika ile mechi ya Simba na Yanga CCM Kirumba Mwanza ambapo Simba ilifungwa goli 3 kwa 0 waliingia nacho na ' Kukifukia ' kisha baada ya mechi ile wakakifukua na kukirudisha katika moja ya Hospitali kubwa na Mkoni Mwanza japo baadae hili tukio liliweza kuwafukuzisha Watu Kazi.

Mpaka kufikia muda huu haya ndiyo machache niliyoweza kuyapata kutoka moja kwa moja ndani ya Kambi ya Yanga SC kama vile ambavyo nimepenyezewa na Mtu ambae Yanga SC wanajua ni mwenzao lakini kumbe Kiuhalisia ni mwana Simba SC tena wa ' Kindandaki ' ambaye ndiyo huyu huyu pia aliwasaidia Simba SC katika mechi ile ya Zanzibar na ya Ngao ya Hisani.

Nawasilisha.
Gentamycine,
Que Sera Sera, What ever will be will be, the future is not ours to see Que Sera Sera, what will be will be
 
Mkuu mbona habar hii kama haina ukwel , huyo mbunge uliemtaja turki si mbunge wa pemba bali ni wa unguja au tofaut ya pemba na unguja ndo inakupa shida ??
 
Naomba ku declare Interest, kwa kusema ukweli GENTAMYCINE huwa unanifurahisha sana na threads zako unapozitoa humu! Huwa sichoki kuzisoma! I wish ungekuwa unatoa kila siku. Sio hizi za soka tu hata nyingine. Keep it up bro!

Akhsante sana Mkuu na maneno yako yamenitia sana nguvu na hata kunibariki pia ili niweze ' Kukonga ' moyo wako 24/7 humu JF.
 
Mkuu mbona habar hii kama haina ukwel , huyo mbunge uliemtaja turki si mbunge wa pemba bali ni wa unguja au tofaut ya pemba na unguja ndo inakupa shida ??

Yap Mkuu nilikengeuka / nilikosea hapo katika eneo ni kweli Mbunge Turki ni wa Unguja na siyo wa Pemba. Yawezekana huko kukosea Kwangu ni sehemu ya ' uchawi ' wa hatari ambao Yanga SC hawajaishia tu kuufanya kwa Wachezaji wa Simba SC bali wameufanya hadi Kwetu Sisi ' Mashabiki ' wake.

Narudia tena kusema kwamba Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Simba SC Kesho tujiandae ' Kisaikolojia ' kwani zile ' Nujumu / Tabiri ' za ' Kiganga ' zinasema kwamba Kesho ' tunaumia ' japo nasi Viongozi wetu hadi sasa wanahangaika angalau tupate ' Sare / Draw '.

Kwa habari za chini ya Kapeti zinasema kwamba ili Kesho Simba SC yetu iibuke na ushindi basi tunahitajika kutoa ' Kafara ' kubwa ama ya Kiongozi wetu au Mwanachama ' maarufu ' au basi tukubali kuanzia muda huu mpaka Kesho asubuhi kutokee ' Ajali ' kubwa au basi hiyo Kesho tukubali kwamba ' tutashinda ' lakini Mchezaji wetu mmoja amwage damu pale Uwanjani.

Kuna sehemu ambayo Yanga SC wameshatubana hasa ' Kindumba / Kishirikina / Kiuchawi ' ambayo nitakuja kuisema hapo baadae ila narudie tena kuwaasa wana Simba SC wenzangu kwamba kuanzia sasa tuanze kujiandaa ' Kisaikolojia ' kwani kwa Kesho ' upepo ' umetukalia vibaya japo kama moja wapo ya ' Kafara ' nililolitaja hapo juu litafanyika basi matokeo yanaweza kubadilika na kuwa mazuri Kwetu. Ila mpaka hivi sasa ushindi kwa Simba SC Kesho ni ' draw / sare ' tu ila kwa Yanga SC ushindi Kwao ni 75% hadi 85%.

Najua mtaumia na kusikitika ila GENTAMYCINE sitaki niwaficheni kwani hali ni ' mbaya ' na Yanga SC safari hii ' wametushika ' patamu hasa Kiutamaduni / Kiuchawi.
 
Back
Top Bottom