Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Umesema umeishia std 6 sasa unasubiri kwenda chuo? au madrasa?mkuu nipo home kipindi hiki nasubiri kwenda chuo ila nanunua mahindi na kuuza
Nilitaka kufanya interview nae ili tujifunze kutoka kwake lakini kama mnataka kucheka kama Jukwaa linavyoakisi basi sawa.Mkuu endelea kuji-interview mwenyewe, hiyo ndiyo hunoga sana.
Hii thread inaenda kuvunja record ya thread hii Uzi Maalum Wa Kupeana Likes: Comment Chochote Upate "like" , ya kuwa Na page nyingi
Tumvumilie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
Endelea kumuhoji Mkuu huku naye akituburudisha.Nilitaka kufanya interview nae ili tujifunze kutoka kwake lakini kama mnataka kucheka kama Jukwaa linavyoakisi basi sawa.
Asante ila umenifurahisha sana.....ngoja niendelee kusomakaribu mkuu
Mkuu humu raha sana kuwemo. Mi huzidisha attendance hasa zile TAREHE DUME kwa watumishi!
Sent using Jamii Forums mobile app