Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Akitoka matembezi dada umuulize baadaye atakupa jibu kama nililokupa!ndo nasikia kwako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitoka matembezi dada umuulize baadaye atakupa jibu kama nililokupa!ndo nasikia kwako mkuu
i see la kwanza mkuu kwakua mashabiki wanakuwana munkali.... aka p.u.m.buKwa uzoefu wako: Kati ya bao la Kwanza na Bao la mwisho! Lipi linanoga kwa mfungaji? Kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
kucheka ruksa na uki post nakupa like buree kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Saint Ivuga njoo ucheke huku
awe ana fikiria ki la saba la sabaTunatukia vyeti kutambua ELIMU za watu. Vyeti vimepatwa na changamoto kibao. Shauri njia mbadala ya kutambua elimu za watu pasi na vyeti!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] Aiseeee.!!ndio ila wakusingiziwa mkuu
kimbolo kudinda pasi na breki mkuuWagunduzi wengi waligundua vitu kutokana na changamoto ktk Mazingira yao. Je? Unadhani mgunduzi wa kwanza wa vazi la chuppi alipatwa na changamoto gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba ya muulizwa swali nijibu swali hili la msingi kama ifuatavyo:- Mgunduzi wa vazi hilo pendwa aliligundua kutokana na changamoto ya kuchunguliwa!Wagunduzi wengi waligundua vitu kutokana na changamoto ktk Mazingira yao. Je? Unadhani mgunduzi wa kwanza wa vazi la chuppi alipatwa na changamoto gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh.!!!swali zuri... nimeamua tu kujifahamu mwenyewe