M marmo Member Joined Mar 19, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Sep 21, 2013 #1 Kwa wale wa teku ni lazima mwk wa kwnza wote wakae hostels au waweza kupanga nje? Naomba msaada wako uliye<unaye>soma teku!!
Kwa wale wa teku ni lazima mwk wa kwnza wote wakae hostels au waweza kupanga nje? Naomba msaada wako uliye<unaye>soma teku!!
luofe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 330 Reaction score 143 Sep 21, 2013 #2 sio mwana teku bt kukaa hostel ni option sio lazima! ni maamuzi yako ndugu!
M marmo Member Joined Mar 19, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Sep 21, 2013 Thread starter #3 luofe said: sio mwana teku bt kukaa hostel ni option sio lazima! ni maamuzi yako ndugu![/QU thanks ndg! Click to expand...
luofe said: sio mwana teku bt kukaa hostel ni option sio lazima! ni maamuzi yako ndugu![/QU thanks ndg! Click to expand...
S Sanjaboy Member Joined Sep 21, 2013 Posts 70 Reaction score 11 Sep 21, 2013 #4 Ivi wadau b.commerce at teku imekaaje? Maana na mi nimechaguliwa huko
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Sep 21, 2013 #5 kwenye joining instruction wamewaandikia Mnatakiwa kukaa hostel unless kama nafasi zikijaa. Lakini kama unapenda tafuta chumba, sidhani kama wanaweza kuwalazimisha kukaa hostel.
kwenye joining instruction wamewaandikia Mnatakiwa kukaa hostel unless kama nafasi zikijaa. Lakini kama unapenda tafuta chumba, sidhani kama wanaweza kuwalazimisha kukaa hostel.