Exclusively for TEKU members!

Exclusively for TEKU members!

marmo

Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Kwa wale wa teku ni lazima mwk wa kwnza wote wakae hostels au waweza kupanga nje? Naomba msaada wako uliye<unaye>soma teku!!
 
sio mwana teku bt kukaa hostel ni option sio lazima! ni maamuzi yako ndugu!
 
Ivi wadau b.commerce at teku imekaaje? Maana na mi nimechaguliwa huko
 
kwenye joining instruction wamewaandikia Mnatakiwa kukaa hostel unless kama nafasi zikijaa.
Lakini kama unapenda tafuta chumba, sidhani kama wanaweza kuwalazimisha kukaa hostel.
 
Back
Top Bottom