Elections 2010 Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries

Elections 2010 Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries

bila ya CCM nchi haitawaliki.. lakini vile vile bila CCM watu hawatotajirika.. at least ni imani ya baadhi ya watu.
 
Bado kuna mkono wa TISS katika mambo mengi kweli.. sijui kama tutafika au vipi?

MM tujuze ni mambo mengi yapi ambayo TISS imetia mkono wake? Nyie wenzetu mmekwisha jitambulisha kuwa RO ni mzee mwenzenu kwahiyo lazima mnakunywa wote kimpumu!!
 
MM tujuze ni mambo mengi yapi ambayo TISS imetia mkono wake? Nyie wenzetu mmekwisha jitambulisha kuwa RO ni mzee mwenzenu kwahiyo lazima mnakunywa wote kimpumu!!

Kuwa mzee mwenzetu siyo kwamba tunaunga mkono kila jambo analolifanya..

This news is very interesting..there is a battle..But all in all to make the king maker happy
 
Tutarajie mengi zaidi watakapoanza kuchuana na wapinzani ...
 
That is great news, I hope Tanzanians will understand this time the situation which is so bad now. Lets us act/play our part, wait and see what happens this year (while knowing that what we are doing is for this country) and not for individual. So far as I know, more of the ruling part candidates will never stop corrupting people because that is what they found since when they became members of the party.

Kuna mambo mengi yanaendelea kila siku watu hatujui. Ni vizuri sasa tunaanza kujua kuwa sababu ya sisi watanzania kuwa masikini ni sisi wenyewe. Kuna mambo machache tunafanya in the interest of national security, and the reason ni kuwa kama financial security ya watu fulani iko mashakani, na kuna mengi tunafanya ina the name of national security lakini ukweli ni kuwa ni wizi mtupu, yaani kutuibia hela wananchi.

Watu wanaokimbilia siasa si wajinga, that is the best place you can sit hide and steal money and be respected. Ukiona watu wanahaha sasa kugombea ubunge usishangae sana. Unaweza kugundua kuwa wengi walikimbia jeshi na kujiunga na chama, na wengi wamekimbia taaluma zao (walimu, madaktari na wanafanyabiashara) ili nao waweze kukata kipande kikubwa cha keki.

Ni ujinga kuwa prof halafu unapokea mshahara mdogo kuliko kalumekenge kama mimi ambaye sijui aa wala bee, kwa hiyo kama kweli wewe ni profesa ni vizuri kufuata njia ya mimi kalumekenge, ili uuoneshe uprofesa wako kwenye uwanja wa bunge.
 
Back
Top Bottom