Execution of court's decree

Execution of court's decree

masai96

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
7
Reaction score
5
A court's decree is the property capable of being attached and realized by the judgement creditor
Adobe_Express_20220912_1920500_1.jpg
 
Fafanua kwa manufaa ya wengi tulio laymen
Maana yake ni kwamba...mshinda tuzo mahakamani yaani mtua aliyeshinda kesi ya madai...ule ushindi wake unachukuliwa kama mali...akitokea mtu mwingine ameshinda kesi nyingine dhidi ya yule aliyeshinda Kesi....ule ushindi unaweza kushikiliwa kama mali na kile kiasi cha mali kwenye ule ushindi unaweza kutumika kufidia kinacho daiwa. Mc Mendez alitoa mfano huu... Kwamfano kuna yule dereva wa ndugu dereva aliyeshinda kesi dhidi ya ile kampuni ya bima...alfu naww ukawa una kesi dhidi ya yule dereva...alfu ukashinda...unaweza kuomba kushikilia ule ushindi wa yule dereva na kiasi alichoshinda kitatumika kufidia unachomdai...
 
Asante, umeiweka vyema sasa nimeelewa
 
Back
Top Bottom