Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
andika kwa kiswahili maana lugha imekuwa ngumu..attached, realised, judgement debtor etc etcA court's decree is the property capable of being attached and realized by the judgement creditorView attachment 2355025
Maana yake ni kwamba...mshinda tuzo mahakamani yaani mtua aliyeshinda kesi ya madai...ule ushindi wake unachukuliwa kama mali...akitokea mtu mwingine ameshinda kesi nyingine dhidi ya yule aliyeshinda Kesi....ule ushindi unaweza kushikiliwa kama mali na kile kiasi cha mali kwenye ule ushindi unaweza kutumika kufidia kinacho daiwa. Mc Mendez alitoa mfano huu... Kwamfano kuna yule dereva wa ndugu dereva aliyeshinda kesi dhidi ya ile kampuni ya bima...alfu naww ukawa una kesi dhidi ya yule dereva...alfu ukashinda...unaweza kuomba kushikilia ule ushindi wa yule dereva na kiasi alichoshinda kitatumika kufidia unachomdai...Fafanua kwa manufaa ya wengi tulio laymen
Asante, umeiweka vyema sasa nimeelewaMaana yake ni kwamba...mshinda tuzo mahakamani yaani mtua aliyeshinda kesi ya madai...ule ushindi wake unachukuliwa kama mali...akitokea mtu mwingine ameshinda kesi nyingine dhidi ya yule aliyeshinda Kesi....ule ushindi unaweza kushikiliwa kama mali na kile kiasi cha mali kwenye ule ushindi unaweza kutumika kufidia kinacho daiwa. Mc Mendez alitoa mfano huu... Kwamfano kuna yule dereva wa ndugu dereva aliyeshinda kesi dhidi ya ile kampuni ya bima...alfu naww ukawa una kesi dhidi ya yule dereva...alfu ukashinda...unaweza kuomba kushikilia ule ushindi wa yule dereva na kiasi alichoshinda kitatumika kufidia unachomdai...