Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?
Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.
lakini wakipata mafuta si ndiyo itakuwa jambo zuri kwa taifa?
MWacheni Mzee apumzike kwa Amani...
Mnatumia nguvu zenu bure..kama watawala hawataki sasa mtawaamulia?
MWacheni Mzee apumzike kwa Amani...
Mnatumia nguvu zenu bure..kama watawala hawataki sasa mtawaamulia?
Mzee wazungu si umewaona wakituibia kwenye ATM zetu? viongozi wetu ndo wale wanojihita wazungu weusi, ni wezi tu na kukosa uzalendo.Nyeree alisema kaburu ni kaburu tu.hawa siyo waafrica bali ni walowezi, tena wakoloni. Ili swala la EO ni hatari mno. tungekuwa na usalama wa taifa wazalendo hii ni kazi yao.hawa watu watatingisha uhuru na usalama wa nchi kwasababu yao ni kunyonya rasilimali ya nchi. Tukibaki maskini iko siku wananchi watakiondoa CCM madarakani kwasababu ndo wanagawana nao rasilimali ya nchi. Tutamweka kiongozi mpya lakini kwa ahadi ya kuwaondoa hawa EO. kwahistoria yao ni Vita lazima litaibuka tu.Lakini hatutawaogopa kwa sababu mrengo wa kushoto huko Uchinani, urusi, Iran nk, tutapata nyenzo. Ushauri: usalama wa taifa (siyo serikali maana serikali ni wanasiasa) walopewa jukumu la kulinda rasilimali ya nchi waingilie sasa.Hawa watu wanawatumia wanasiasa ambao utajiri kwao ni muhimu zaidi kuliko tanzania.tayari tumeona walivyotumiwa kupitia MEREMETA awaaminiki. BIla rasilimali, kazi, then chakula hakuna amani.NI ushauri wa BURE tu.Hold on.. hivi kuna mafisadi wa kizungu? Kwa muda mrefu naona watawala wetu na watumishi wengi wanapokutana na wazungu wanakuwa kama wamepigwa ganzi ya aina fulani hivi; wanaamini kuwa wazungu wote wanaokuja nchini kama wawekezaji au washauri wa mambo mbalimbali wanakuja na mioyo misafi na nia njema.
Sidhani kama kuna mtu serikalini anayeshuku wazungu kwa ufisadi kwa sababu kuna kaimani ka kijinga kuwa wazungu wote ni waadilifu na hivyo wanapokuja na mapendekezo yao ya uwekezaji yote imejaa mambo mema kwa taifa letu.
Matokeo yake huwa hatuelewi kwanini licha ya kuwa na marafiki wengi wa kizungu bado tunaendelea kutukuza umaskini wetu!
The British Empire is not yet dead!