Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
hapo ndipo utajua hii vita dhidi ya ufisadi ni kama kutwanga maji kwenye kinu
madudu yte haya yanarudi kwa waingereza na kama wao wanasema wanashare values na Saudi Arabia then something is not right
GT, Mwanakijiji na Richard,
Kuna Miss-Conception kubwa sana ya kudhani kwa eti kwa kuwa US ni super power na Russians a great giants na hata emergence ya China, Brazil, India, Japan na some Asian tigers basi the British Empire is dead!
Whoever thinks that way is dead wrong and he/she should be shot in head!
Ukiangalia profile ya SOAS, ukiangalia kazi za kian EO, Crown Agents na wenginewe, wote bado wana utiifu kwa British Empire.
Cecil Rhodes na wengine hawakuwa wajinga. Tunajidanganya kuwa Anglo-Boer War ilikuwa ni Afrikanners wakipigana na Waingereza, lakini angalia ni jinsi gani mizizi ya British Empire imeshikamana Afrika nzima hata kule kwa wale Francophone.
Go to Asia, middle east, Australia, Canada and South America, still kuna ndimi za makali ya British Empire za kutisha.
They sing "Oh Britannia Britannia rules the seas" and that is exactly they have done complete control of the world even at remote control.
Looka this, capital zote za money laundry na evasion ukiondoa Swiss ni mali ya Muingereza. Anza Malta, Jersey, Cayman, Aruba, Bahamas na kwingineko!
Kwangu mimi na suala letu linalotusibu ni hili? je tulirudisha hati yetu ya Uhuru kwa Malkia na kudanganywa na misaada na misamaha ya kodi na mpaka kupewa kiti katika tume ya Blair ya masuala ya maendeleo?
Wakati tunamshikia bango Kikwete kujikomba kwa Bush, tulisahau kuwa Mkapa alikuwa karibu sana na Blair kiasi cha kumuona ni kikaragosi au kuwadi wa Blair na hasa tukiangalia suala la Rada na hata hili la Meremeta!