Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources

Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources

hapo ndipo utajua hii vita dhidi ya ufisadi ni kama kutwanga maji kwenye kinu

madudu yte haya yanarudi kwa waingereza na kama wao wanasema wanashare values na Saudi Arabia then something is not right

GT, Mwanakijiji na Richard,

Kuna Miss-Conception kubwa sana ya kudhani kwa eti kwa kuwa US ni super power na Russians a great giants na hata emergence ya China, Brazil, India, Japan na some Asian tigers basi the British Empire is dead!

Whoever thinks that way is dead wrong and he/she should be shot in head!

Ukiangalia profile ya SOAS, ukiangalia kazi za kian EO, Crown Agents na wenginewe, wote bado wana utiifu kwa British Empire.

Cecil Rhodes na wengine hawakuwa wajinga. Tunajidanganya kuwa Anglo-Boer War ilikuwa ni Afrikanners wakipigana na Waingereza, lakini angalia ni jinsi gani mizizi ya British Empire imeshikamana Afrika nzima hata kule kwa wale Francophone.

Go to Asia, middle east, Australia, Canada and South America, still kuna ndimi za makali ya British Empire za kutisha.

They sing "Oh Britannia Britannia rules the seas" and that is exactly they have done complete control of the world even at remote control.

Looka this, capital zote za money laundry na evasion ukiondoa Swiss ni mali ya Muingereza. Anza Malta, Jersey, Cayman, Aruba, Bahamas na kwingineko!

Kwangu mimi na suala letu linalotusibu ni hili? je tulirudisha hati yetu ya Uhuru kwa Malkia na kudanganywa na misaada na misamaha ya kodi na mpaka kupewa kiti katika tume ya Blair ya masuala ya maendeleo?

Wakati tunamshikia bango Kikwete kujikomba kwa Bush, tulisahau kuwa Mkapa alikuwa karibu sana na Blair kiasi cha kumuona ni kikaragosi au kuwadi wa Blair na hasa tukiangalia suala la Rada na hata hili la Meremeta!
 
british_torture.jpg


One minute DFID wanatupa speeches on good governance then next minute wao wanakuwa mstari wa mbele kwenye kutorture watu

na zaidi I lost respect of the Brits when they decided kuichana hi MAGNA CARTA

Magna_Carta.jpg


I dont even know what to think of these people sometimes...hawa New Labour's wana dreams of creating another East Germany in the UK...hebu mie ngoja nikalale Mrs GT analalama
 
Hold on.. hivi kuna mafisadi wa kizungu? Kwa muda mrefu naona watawala wetu na watumishi wengi wanapokutana na wazungu wanakuwa kama wamepigwa ganzi ya aina fulani hivi; wanaamini kuwa wazungu wote wanaokuja nchini kama wawekezaji au washauri wa mambo mbalimbali wanakuja na mioyo misafi na nia njema.

Sidhani kama kuna mtu serikalini anayeshuku wazungu kwa ufisadi kwa sababu kuna kaimani ka kijinga kuwa wazungu wote ni waadilifu na hivyo wanapokuja na mapendekezo yao ya uwekezaji yote imejaa mambo mema kwa taifa letu.

Matokeo yake huwa hatuelewi kwanini licha ya kuwa na marafiki wengi wa kizungu bado tunaendelea kutukuza umaskini wetu!

Mkuu mwanakijiji naomba nikupe pongezi zangu kwa hoja zako nyingi ambazo nikizisoma sincerely naelewa namna ulivyo na dhamira njema na uzalendo kwa nchi yako,naamini sauti yako haitapoketea bure, Swala la ufisadi wa wazungu ni wazi ni mafisadi wakubwa sana, ila wametuzidi kitu kimoja,wazungu wanatujua sana through research and whatever,lakini sisi hatuwajui na pia hatutaki kuwajua,kwa mantiki hiyo popote tunapokuwa na mawasiliano nao hata kama wapo sebureni kwetu wenyewe huwa ndio wenyeji wa mkutano,kwa kiasi kikibwa wao hutawala maongezi na agenda huwa ni za kwao kupitia upumbavu wa waafrika walio wengi.
Kwa kuwa wazungu wanajua fika tatizo la waafrika hatupendi kusoma hivyo karibu kila wanachotaka wapate toka kwetu hukiandika huku katika maongezi wakitufurahisha,baada ya maongezi wawakilishi wetu huishia kusaini makubalia ambayo hawajayaelewa na penginepo kutoyasoma wakitegemea maongezi ya mdomo.
Huko serikalini kumejaa watu ambao wanaendesha mambo kwa mawazo waliyoyahifadhi kwenye vichwa vyao YALE WALIYOYAWAZA MUDA MREFU,hawabadiliki na mazingira,hili ndilo tatizo kubwa,Jingine ni kukosa malengo katika utendaji miongoni mwa idadi kubwa ya watendaji serikalini,wapatapo nafasi ya kukutana na wazungu la maana wawazalo ni kumfurahisha mzungu na si kuangalia namna wa kumtumia kutimiza malengo ya serikali.
Tuna tatizo kama taifa na kwa bahati mbaya watawala hawajui na hawana nia ya kujua kama kuna tatizo.can you imagine Mh Rais anavyodhani kama adhabu ya madereva ingeongezwa ili kudhibiti ajari,RAIS HATOI MSIMAMO BALI ANASHAURI tutafika kweli.
 
wungwana,kwanza poleni na kazi ngumu hii ya kupambana na hii midubwana,lakini kwa hili,mie kama vile nimedandia gari kwa mbele,nielewesheni zaid juu ya hawa crown agents,pili mwana kijiji,ile ripoti hata sijaijitia machoni,please fanya utaratitibu nami niipate
 
wungwana,kwanza poleni na kazi ngumu hii ya kupambana na hii midubwana,lakini kwa hili,mie kama vile nimedandia gari kwa mbele,nielewesheni zaid juu ya hawa crown agents,pili mwana kijiji,ile ripoti hata sijaijitia machoni,please fanya utaratitibu nami niipate

Hapa inabidi uende kwenye ukumbi wa siasa pale utakutana na hizo nyaraka
 
Sasa tuko 2009 bado mnalaumu British Empire kwa madudu wanayo viongozi wenu..!!

Kuna ulazima gani wa kuwakumbatia British iwapo bado wanaendeleza utawala wao wa karne ya 19, mbona Rwanda wana "bifu" na France lakini maendeleo yanakwenda mbele.?!

Hebu tuangalie usafi ndani mwetu tunamolala kabla kuangalia nje uwani kwa jirani.
 
Sasa tuko 2009 bado mnalaumu British Empire kwa madudu wanayo viongozi wenu..!!

Kuna ulazima gani wa kuwakumbatia British iwapo bado wanaendeleza utawala wao wa karne ya 19, mbona Rwanda wana "bifu" na France lakini maendeleo yanakwenda mbele.?!

Hebu tuangalie usafi ndani mwetu tunamolala kabla kuangalia nje uwani kwa jirani.

Yebo Yebo,

Nimeuliza ni kipi walichokifanya kina Mkapa mpaka wakashikiliwa herani na mateka na muingereza?

Si kuwa tunamlaumu Muingereza bila kuwajibika kwa matendo yetu wenyewe, lakini kama nyakati za mwanzo za ukoloni, Muingereza alikuwa na lengo la kujitajirisha na kuifanya himaya yake iwe kubwa.

Walivyomlaghai Shaka na Machifu wengine wa Kiafrika, Asia na sehemu nyinginezo, ndivyo viongozi wetu wa sasa walivyolaghaiwa na wao badala ya kusimama kidete na kupingana na ulaghai, wakanyong'onyea na kuwa wanyonge wa Wakoloni katika ukoloni huu mpya.

Kina EO, Crown Agents hawana tofauti na kina Livingstone au "wavumbuzi" wa awali ambao lengo lao halikuwa kuvumbua ardhi, watu au rasilimali kwa manufaa ya wakazi wa sehemu hizi, bali ni kwa ajili ya himaya na dola ya Muingereza.

Ni lazima tuwe wazi kuyabaini malengo ya adui wetu na hata kujijua ama udhaifu wetu na kujikinga kulaghaiwa na vitisho visivyo na msingi.

Ndiyo, tunahitaji viongozi wenye msimamo na wazalendo watakaosimama na kusema hapana kwa ajenda za mkoloni.

Unaposikia Kiongozi akilia na kusema misaada ni muhimu na ni lazima tutafute misaada, hiyo ni dalili kubwa ya udhaifu wa kiongozi huyu na yawezekana hao wanaotupa misaada wanamshurutisha atoe kauli kama hizo ili kuhalalisha wanayotaka kuyafanya kwa jamii yetu.
 
Sasa tuko 2009 bado mnalaumu British Empire kwa madudu wanayo viongozi wenu..!!

Kuna ulazima gani wa kuwakumbatia British iwapo bado wanaendeleza utawala wao wa karne ya 19, mbona Rwanda wana "bifu" na France lakini maendeleo yanakwenda mbele.?!

Hebu tuangalie usafi ndani mwetu tunamolala kabla kuangalia nje uwani kwa jirani.


how_europe_underdeveloped.jpg

nakushauri kwa kuanza ungeanza kusoma hiki kitabu then ukishasoma rudi tujadiliane vilivyo badala ya kuja kutaka kuitetea RULE BRITANIA humu
 
na ngeleja alikuwa anahojiwa muda si murefu hapo Clouds FM na anachojivunia ni kuwa eti kwa sheria mpya sasa hivi tunapata 4% sasa cjui kama hii kdweli iko relevant with the amount of our natural resources hawa jamaa wanachukua
 
Kuna kitu ambacho kamwe hakiniingi akilini, viongozi wetu wanapo admit kuwa mikataba ya madini ni ya kinyonyaji at the same time wana ingia mikataba mipya yenye nature ileile, na makampuni yaleyale, kwa mirahaba ileile!. Huo ni udhaifu wa hali ya juu kabisa. Nionavyo mimi kuendelea kugundua maeneo mapya yenye madini ni fursa adhim ya kurekebisha mikataba ya kinyonyaji iliyoingiwa hapo awali.
Kwanini nasema hivyo, hawa wanyonyaji madini wanayataka tena sana tu, hivyo basi kwa mikataba yenye akili, sehemu zinazo gunduliwa wapewe wawekezaji wapya kabisa (hasa wa china) ambao ni wapinzani wao kibiashara, jambo hilo litawafanya wakompeti, ili waweze kusikilizwa wapewe kondisheni ya kurekebisha mikataba ya kwanza ndo watapewa maeneo mengine.
 
Well.. we need to talk about these people and what we gonna do about them and their political puppets in the former Mkapa's administration. Kwa sababu sasa wameokoka na kuwa wafanyabiashara wazuri tuwaachie wachimbe na mafuta baada ya kuchota dhahabu yetu? Kwa vile nia yao nzuri ya kutusaidia kuchota resources zetu tuwaache na kuwagawia maeneo mengi zaidi ili waendelee kututendea wema kama ule unaofanywa na makampuni makubwa ya uchimbaji dhahabu?

Mzee Mwanakijiji, Simon Mann and his team...what is the name of the company they use to operate in Tanzania? Heritage? I read his book, Cry Havoc, and understood why some of the African countries have been turned upside down. With our natural resources it could be their time to come up with a formula fit for purpose in Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwanakijiji, Simon Mann and his team...what is the name of the company they use to operate in Tanzania? Heritage? I read his book, Cry Havoc, and understood why some of the African countries have been turned upside down. With our natural resources it could be their time to come up with a formula fit for purpose in Tanzania

sasa hivi watu wake wapo Ziwa Tanganyika na maeneo ya Mkuranga
 
Kuikomboa Tanzania kwahitaji watu waliotayari ku sacrify maisha yao kwa ajili ya vizazi vijavyo. Tanzania yenye neema ipo ila bado iko mbali.:fencing:
 
Back
Top Bottom