Exemption katika uagizaji wa gari

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
201
Reaction score
116
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted

natanguliza shukrani
 
import duty tuuuu zingine kama kawa ngoja nimwite Matola atakusaidia zaidi
 
Last edited by a moderator:
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted

natanguliza shukrani

kwenye kuagiza gari kuna malipo ya category 6 mpaka unachukuwa gari.

1. invoice
2. shippingline
3. agency fee
4. tax
5. port charges
6. plate namba & card.

kwahiyo basi kinachohusika na exemption ni kipengere namba 4 tu cha tax basi hivyo vipengele vilivyobaki vyote unalipa kawa kawaida.
 
Matola bado unatuacha gizani. Ni vema utudadavulie kiwango cha tax kinachokuwa exempted na pia uanishe aina za kadi maana mfano kwa sasa gar iliyotengenezwa miaka 8 nyuma inalipiwa na kodi mbili ikiwemo ya uchakavu.
Sasa je ni kiasi cha kodi zote mbili kinakuwa exempted au ni kiasi tu? na kama ndivyo ni asilimia ngap?
 

cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted

natanguliza shukrani

Usiangaike, Dunia ipo kiganjani mwako saizi, piga TRA huduma kwa wateja bure watakwambia, kama huna namba ingia kwa website yao zipo, wanapokea simu haraka na kukujibu chochote.

Binafs niliwai wauliza na walinipa mchanganuo jins exemption inafanyika, si tu kodi kwa ujumla wake.

Ningekuwa na muda ningeandika lkn wapigie simu ni uhakika zaid kwa taarifa maana sheria hubadilika kila mwaka.
 
Lakini pia mjue Magari mengi ambayo yana exemptions ni tabu sana kuyauza,labda uuze kwa hasara.
Maana wakati wa kuuza inabidi mnunuaji alilipie kodi upya kwa kiwango cha wakati huo ambapo kila siku kinapanda.
Labda sijui wataalam kama wana njia nyingine
 

Uko Right, Uko Wrong. Ulitakiwa uingie deep zaidi kama ifuatavyo.

4. Tax
(i) Import Duty
(ii) Excise Duty (Over 1,000CC)
(iii) Excise Duty (Aged if Y>8 or Y>10yrs sijui)
(iv) VAT

Katika hivi vipendele vya kodi, msamaha ni 4(i) TU, vingine vyote vilivyobaki kama kawa, kama dawa LAZIMA ULIPE!!
 
Njia nyingine ni mnunuaji apewe bei rahisi ili alinunue na aliendeshe hivyohivyo likiwa na anuani ya mtu mwingine.
Msala unakuja akipata nalo ajali kubwa mambo ya bima yatamsumbua!!
 

Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu,though kuna hiyo changamoto but Kama,ukipata hiyo exemption kuna kuwa na relief sana.
 

Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu,though kuna hiyo changamoto ya Kama utaiuza hiyo gari but Kama,ukipata hiyo exemption kuna kuwa na relief sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…