Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted
natanguliza shukrani
natanguliza shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted
natanguliza shukrani
Matola bado unatuacha gizani. Ni vema utudadavulie kiwango cha tax kinachokuwa exempted na pia uanishe aina za kadi maana mfano kwa sasa gar iliyotengenezwa miaka 8 nyuma inalipiwa na kodi mbili ikiwemo ya uchakavu.
Sasa je ni kiasi cha kodi zote mbili kinakuwa exempted au ni kiasi tu? na kama ndivyo ni asilimia ngap?
Wakuu! Hivi katika uagizaji Wa gari kwa wafanyakazi Wa serikali ni kodi zipi zinazo kuwa exempted
natanguliza shukrani
kwenye kuagiza gari kuna malipo ya category 6 mpaka unachukuwa gari.
1. invoice
2. shippingline
3. agency fee
4. tax
5. port charges
6. plate namba & card.
kwahiyo basi kinachohusika na exemption ni kipengere namba 4 tu cha tax basi hivyo vipengele vilivyobaki vyote unalipa kawa kawaida.
Njia nyingine ni mnunuaji apewe bei rahisi ili alinunue na aliendeshe hivyohivyo likiwa na anuani ya mtu mwingine.Lakini pia mjue Magari mengi ambayo yana exemptions ni tabu sana kuyauza,labda uuze kwa hasara.
Maana wakati wa kuuza inabidi mnunuaji alilipie kodi upya kwa kiwango cha wakati huo ambapo kila siku kinapanda.
Labda sijui wataalam kama wana njia nyingine