INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari.

Nauza baiskeli ya mazoez.

Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote

Bei laki 2 tu. ( fixed price)

20240804_131911.jpg

20240804_131940.jpg
 
Hii nzuri sana kwa kuchangamsha mwili nyumbani. Na bei yake ni nzuri pia
 
Back
Top Bottom