Carbon hiyo inasababishwa na nini kwenye manifolds?Point of correction!
Exhaust manifolds ikijaa carbon, moshi utakaotoka ni mweusi na si mweupe.
1. Air filter imechakaa!Carbon hiyo inasababishwa na nini kwenye manifolds?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Japo hata huo moshi mweusi hautoki. Kinachoonekana ni carbon ilolowa maji ukigusa lile bomba.Point of correction!
Exhaust manifolds ikijaa carbon, moshi utakaotoka ni mweusi na si mweupe.
Oooh! Moshi kumbe unatoka wa kawaida tu? Then hapo shida ni oxy sensor au air filter chafu mno!Japo hata huo moshi mweusi hautoki. Kinachoonekana ni carbon ilolowa maji ukigusa lile bomba.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sawa. Ila tatizo kubwa linaloenda sambamba na hili ni oil kupungua siku kwa siku. Nilidhani inachomwa pamoja na mafuta. Lakini, mbona hakuna dalili hizo kwenye exhaust kulowa oil na kutoa huo moshi?Oooh! Moshi kumbe unatoka wa kawaida tu? Then hapo shida ni oxy sensor au air filter chafu mno!
Hewa inaingia ya kutosha ila oxygen inachafuliwa kwenye filter. Jaribu kuangalia hivyo vitu.
Moshi wa gari yako ni wa kawaida?Sawa. Ila tatizo kubwa linaloenda sambamba na hili ni oil kupungua siku kwa siku. Nilidhani inachomwa pamoja na mafuta. Lakini, mbona hakuna dalili hizo kwenye exhaust kulowa oil na kutoa huo moshi?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haitoi moshi bali ni mvuke mvuke tu. Ila kwenye bomba kunalowa maji yanayodondoka ambayo ukiyagusa yana carbon tu.Moshi wa gari yako ni wa kawaida? I mean ni mweupe?
Nimekupata... check air filter na leakages hizo tajwaHaitoi moshi bali ni mvuke mvuke tu. Ila kwenye bomba kunalowa maji yanayodondoka ambayo ukiyagusa yana carbon tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app