Exhauster intoa sauti kama imetoboka

suluta

Senior Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
115
Reaction score
40
Wadau, gari yangu exhauster inapiga kelele kama imetoboka. Nimefungua fundi gas alipoiona na kukagua kote akasema haina shida yoyote. Anasema sababu ya hiyo sauti ni kwa kuwa haitatembea muda mrefu na itafika mahali itaacha yenyewe. Lakini gari ukiwasha inatoa sauti kama ya mabeseni yanahongana. Cha kushangaza ukishaanga kutembea inakatika na ukikanyaga mafuta hata speed 20 tu inapotea haisisiki tena.

Nini ukweli wake
 
Gari ni kama mtoto ukiona
ishara wapelekee mafundi.
Mafundi nao kila mmoja na uelewa wake.hivyo wazungukie wengi wengi ila matajiri wa siku hizi wanashauri ufanye digonostic nini sijui yaani kwavkutumia computer badala ya kuruhusu gari kufunguliwa funguliwa mara kwa mara kwa hao wabahatishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…