suluta
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 115
- 40
Wadau, gari yangu exhauster inapiga kelele kama imetoboka. Nimefungua fundi gas alipoiona na kukagua kote akasema haina shida yoyote. Anasema sababu ya hiyo sauti ni kwa kuwa haitatembea muda mrefu na itafika mahali itaacha yenyewe. Lakini gari ukiwasha inatoa sauti kama ya mabeseni yanahongana. Cha kushangaza ukishaanga kutembea inakatika na ukikanyaga mafuta hata speed 20 tu inapotea haisisiki tena.
Nini ukweli wake
Nini ukweli wake