makandomende
Member
- Sep 2, 2013
- 82
- 43
Wengine hudhani ni kisasi au imani za kishirikina na kwamba wahusika wametumwa.
Huu ni upotoshaji, lakini ukweli ni kuwa hayo ni magonjwa ya akili ya ngono ambayo yanawakumba asilimia 35 au zaidi ya Watanzania wote.
Watanzania hawa wanaugua magonjwa haya kwa wakati mmoja na kusababisha madhara mbalimbali kijamii, kiuchumi na migogoro katika familia na katika uhusiano.
Watu wenye magonjwa haya, si lazima watembee wakiokota makopo, kuvua nguo au kuwa na nywele ambazo hazijachanwa.
Hawa ni watu wa kawaida ambao tunafanya nao kazi, wenye uwezo mkubwa katika taaluma au pengine ni wazazi au hata walezi.
Kwa kitaalamu, ugonjwa wa akili ya ngono wa kupenda kuacha mwili wazi unaitwa exhibitionism ambapo mtu huweza kuamua kuacha maziwa, mapaja au kwa wanaume kuvaa suruali inayoelekea kuanguka kutoka maungoni,
Aisee kumbe wagonjwa ni wengi sana karibu robo tatu.................mmmmmh