Exile mavyuoni...!!

Exile mavyuoni...!!

semister ya pili au mwaka wa pili ? Ninavojua hapa unatudanganya UDSM ukipangiwa chumba ni hadi mwaka uishe ndio unapangiwa chumba kingine ambacho kupata ni bahati nasibu sasa ila kwa upande wa EXILE UKO SAWA WATU WANAGEGEDANA KM HAWANA AKILI NZURI INAITWA EAT AND RUN ITS SO COMMON AT UDSM PREMISES
 
Exile iliwafanya watu washinde ng'ambo ya mabibo kula chibuku na banana mwishowe jion mabanda ya kuonesha movie kwa mia
 
Back
Top Bottom