Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

Macbook pro

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
752
Reaction score
1,106
Habari za Kwenu Wadau!
Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee ..

Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli najutia na niliwahi kufika ofisini kwao kuwauliza mbona app yenu ina complications kiasi hicho. Wahudumu wakaniambia eti kwa sababu ni App inayotoa huduma za kifedha kwahiyo lazima kuwe na usumbufu huo nikamuuliza mbona app kama za Bank ya NBC, CRDB na NMB ziko rahisi kutumia.

Kutuma au kulipia huduma yoyote wanataka utumie OTP muda wote iwe ni kununua airtime wanataka OTP nikaomba niondolewe hiyo kitu kwani kuingia kwenye app kuna password ambayo naijua mimi tu. Hawakunielewa wanajitetea tu wakihisi sijui mimi ni mshamba wa pale mawe matatu magu.

Kongole kwa Nbc, crdb na NMB, hizi Bank wanaziishi zama za teknolojia vyema. Exim Bank kama mko humu punguzeni huo urasimu. Yaani kulipia bill lazima OTP kuiadd bank detail yoyote wanataka OTP na otp zao zinachelewa kufika.

Upande wa App pia muonekano ni kama vile mtu aliyekua anajifunza Programming, very poor UI and UX. Nimeamua kuhamia Bank nyingine huko nitakua natumia kufanya saving ambayo pia sijui kama nitaendelea maana faida za kutunza huko ni ndg mnoo. Imagine niweke 1M nije kulipwa 3.5% kwa mwaka.

Ushauri wangu, Technical team director usikaze shingo boresheni app yenu iendane naushindani uliopo sokoni.
 
Habari za Kwenu Wadau!
Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee .. Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli najutia na niliwahi kufika ofisini kwao kuwauliza mbona app yenu ina complications kiasi hicho. Wahudumu wakaniambia eti kwa sababu ni App inayotoa huduma za kifedha kwahiyo lazima kuwe na usumbufu huo nikamuuliza mbona app kama za Bank ya NBC, CRDB na NMB ziko rahisi kutumia.
Kutuma au kulipia huduma yoyote wanataka utumie OTP muda wote iwe ni kununua airtime wanataka OTP nikaomba niondolewe hiyo kitu kwani kuingia kwenye app kuna password ambayo naijua mimi tu. Hawakunielewa wanajitetea tu wakihisi sijui mimi ni mshamba wa pale mawe matatu magu.
Kongole kwa Nbc, crdb na NMB, hizi Bank wanaziishi zama za teknolojia vyema. Exim Bank kama mko humu punguzeni huo urasimu. Yaani kulipia bill lazima OTP kuiadd bank detail yoyote wanataka OTP na otp zao zinachelewa kufika.
Upande wa App pia muonekano ni kama vile mtu aliyekua anajifunza Programming, very poor UI and UX. Nimeamua kuhamia Bank nyingine huko nitakua natumia kufanya saving ambayo pia sijui kama nitaendelea maana faida za kutunza huko ni ndg mnoo. Imagine niweke 1M nije kulipwa 3.5% kwa mwaka.
Ushauri wangu, Technical team director usikaze shingo boresheni app yenu iendane naushindani uliopo sokoni.
Hiyo ndiyo safi. OTP ni another security layer. Watu wanapigwa pesa na password zao
 
Tigo pesa wana app nzuri sana.
Ila suala la OTP naona ni ulinzi…
Ndio kila muda, kwanini hiyo OTP isiwe kunipa access na ninapoingia nifanye muamala. OTP kila sehemu na tena wanatuma kwa kuchelewa
 
Back
Top Bottom