Expansion of The Great North Road

I thought mlisema kila mradi ni Nairobi? Sasa umebadilisha?

Unafaa ujue, Central Kenya ndio imekaribiana na Nairobi. Ili kujenga barabara kutoka Nairobi hadi maeneo mengine ya nchi, kuna uwezekano mkubwa utapitia central.
Kwani hata huu si mradi wa Nairobi?
 
Unaongea Tabora ipi?

Tabora kuna ujenzi wa barabara zenye urefu wa zaidi ya kilometres 500 kwa sasa kuunganisha mikoa na wilaya
 
Unaongea Tabora ipi?

Tabora kuna ujenzi wa barabara zenye urefu wa zaidi ya kilometres 500 kwa sasa kuunganisha mikoa na wilaya

Huyu Mwaniri ndiye hufanya kazi Kikenya, nafikiri ana undugu na Kenya maana hayo majina Mwaniri yamejaa huku, au atakua Mchagga maana wale ndio baadhi ya Watanzania ambao wapo kwenye level moja na Wakenya, hao na Wahaya, ila nyie wengine kazi kuburuzwa tu na kujazana huku Kenya mkiomba omba.
Mkimpeleka Dar akachukue nafasi ya yule dogo Bashite ambaye huwa mnamkingia kifua pamoja na kuboronga kote kule, Dar inaweza kujongea jongea Nairobi japo kwa umbali.
Ukitokea Manyani kuelekea Tabora kuna safu nililishwa vumbi kilomita nyingi sana, ni kama kutoka Naivasha hadi Nairobi barabara bila lami vumbi tupu tena maeneo ya watu hata sio maporini, kama Mwaniri amerekebisha hilo poa, ila ilikua balaa sana.
 
Huyu mzee huwa nimemkubali. Mchapakazi sana! Ni kama Matiang'i ama Nelson Marwa vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…