Huyu Mwaniri ndiye hufanya kazi Kikenya, nafikiri ana undugu na Kenya maana hayo majina Mwaniri yamejaa huku, au atakua Mchagga maana wale ndio baadhi ya Watanzania ambao wapo kwenye level moja na Wakenya, hao na Wahaya, ila nyie wengine kazi kuburuzwa tu na kujazana huku Kenya mkiomba omba.
Mkimpeleka Dar akachukue nafasi ya yule dogo Bashite ambaye huwa mnamkingia kifua pamoja na kuboronga kote kule, Dar inaweza kujongea jongea Nairobi japo kwa umbali.
Ukitokea Manyani kuelekea Tabora kuna safu nililishwa vumbi kilomita nyingi sana, ni kama kutoka Naivasha hadi Nairobi barabara bila lami vumbi tupu tena maeneo ya watu hata sio maporini, kama Mwaniri amerekebisha hilo poa, ila ilikua balaa sana.